Eti degree za chup...! Mwee!

Sabry001

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,064
353
Kuna ki2 kimenishtua leo eti kuna DEGREE ZA CHUPI kwa wadada!!? Unaenda chuo miaka 3 au 4, unawavulia wahadhiri chupi wanakupa marks za bure. Sasa huyu m2 anaenda kufanyaje kazi au atamvulia na bosi pia? Dah!
 
hizo zipo maana nakumbuka niliwahi mwaka mmoja kufanaya group presentation na dada mmoja baada ya kumaliza yule mhadhiri alitaka yule dada ndiy apeleke kazi yetu basi bwana si jamaa mmoja akajitia kimbelembele kupeleka yeye baada ya mtakiwa kukataa... kilichotokea hapo we acha tu
 
Huyo mdada anapomaliza chuo si anakuwa amemaliza na utamu wote... Anambakishia nini sasa atakayemuoa kama kila lecturer amemuonjesha utamu wake
 
It's high time for girls not to dehrage themselves in order to earn a degree.
The 'chup. ' phenomenal was rampant when we had only one Versirty (UDSM).
Naamini girls are as inteligent as men are; yet binti yangiu huwa anashangaa wanaonunua mitihani, utapimaje elimu yako?
 
Kuna ki2 kimenishtua leo eti kuna DEGREE ZA CHUPI kwa wadada!!? Unaenda chuo miaka 3 au 4, unawavulia wahadhiri chupi wanakupa marks za bure. Sasa huyu m2 anaenda kufanyaje kazi au atamvulia na bosi pia? Dah!

hata kwa wakaka pia zipo.
 
Ukiwa fisadi utaishi kifisadi, watoto wako nao wasoma na kuishi kifisadi, na ukiwa mvua chupi, utavua tu kwa kila mtu kulingana na needs zako..... Sijui niwe mhadhiri???????????????????
 
ukiwa fisadi utaishi kifisadi, watoto wako nao wasoma na kuishi kifisadi, na ukiwa mvua chupi, utavua tu kwa kila mtu kulingana na needs zako..... Sijui niwe mhadhiri???????????????????
unapenda nawe kutoa degree kama hizo???
 
hizo zipo maana nakumbuka niliwahi mwaka mmoja kufanaya group presentation na dada mmoja baada ya kumaliza yule mhadhiri alitaka yule dada ndiy apeleke kazi yetu basi bwana si jamaa mmoja akajitia kimbelembele kupeleka yeye baada ya mtakiwa kukataa... kilichotokea hapo we acha tu

Malizia tujue mwisho wake
 
Kwa kweli akina dada mna challenge nyingi kuliko kina kaka hasa vyuoni
 
Wajiandae tu kuzivua hizo chupi maana vile vibabu havutaki kabisa masiala wake zao wameshaka ila wao bado wako fiti so hapo dada zetu hawana jinsi.
 
Tena siyo huwa wanavuliwa bali huwa wanajipeleka na wanajivua wao wenyewe kisha wanashikishwa viti,meza au vikabati,upo hapo Sabry?
 
Kwa nchi zilizoendelea wadada wanavua chupi na bado darasani wahadhiri wanafanya kazi ipasavyo,hamna upenedelea ,ndio maana sijapenda kusoma bongo.
 
Kuna ki2 kimenishtua leo eti kuna DEGREE ZA CHUPI kwa wadada!!? Unaenda chuo miaka 3 au 4, unawavulia wahadhiri chupi wanakupa marks za bure. Sasa huyu m2 anaenda kufanyaje kazi au atamvulia na bosi pia? Dah!
Mwanafunzi wa chuo ni mtu mzima na anawajibika kwa matendo yake, tatizo linakuja kuhusu rushwa ya ngono ambayo nadhani ni ngumu sana kuithibitisha ikiwa hakuna ushirikiano kutoka kwa mpokeaji au mtoaji wa hiyo rushwa. Kimsingi kama umekanyagiwa wee tafuta mnyonge wako iwe ngoma droo, otherwise hamna ishu hapa.
 
Hebu sema nini kilitokea????

Back
Top Bottom