JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,091
- 4,715
Utakuta nimetoa lawama kuhusu mwanamke wangu kuwa na matumizi makubwa sana kuliko kipato chetu/changu, japo mimi kipato changu siyo kibaya, million mbili tatu kwa mwezi. Ila mwanamke wangu amekua na matumizi mengi kwamba najiona kama nna hali mbaya.
Kibaya zaidi utakuta kuna mafisi ukitafuta ushauri utasikia ooh tafuta wa level yako. Ukute fisi linaingiza laki na nusu kwa mwezi tu ila linatoa ushauri huo.
Hivi kwa nini wabongo wana roho mbaya sana unapohitaji ushauri?