Eti CHADEMA ni chama cha kifamilia?

Madikizela

JF-Expert Member
Jul 4, 2009
677
439
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Mkoa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Sambwee Shitambala ameendelea kukiponda chama hicho akisema ni cha wanafamilia wanaokitumia kujinufaisha.

Shitambala ambaye alikihama chama hicho, alikuwa akizungumza jana katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa madiwani katika Kata ya Majengo jijini Mbeya.

MwanaCCM huyo alisema Chadema chama hicho hakitaweza kupiga hatua kutokana na kuwa sawa na genge la wachache ambaao ni wana familia wanaokitumia kujinufaisha.

Alisema CCM ndicho chama kinachoonekana kutokuwa na mwenyewe.

Alisema vingine vipo chini ya watu wachache hali ambayo vimekuwa vikipeana
madaraka wao wenyewe.

“Tunataka chama kitakachokuwa cha Watanzania wote, ambao wakawa na kauli juu ya chama chao. Hatuhitaji chama kinachoongozwa na genge la wahuni.

Mtu kakianzisha kaweka hati nyumbani kwake, mwingine kaenda kaoa mke kwa mwenye chama kapewa uenyekiti.

Matokeo yake kinakuwa chama cha baba, mtoto na mkwe, hicho si chama,” alisema na kuongeza: “Mimi nilikuwa Mwenyekiti wao Mkoa wa Mbeya lakini nina historia ya kushindana nao katika suala la migomo.

Ndiyo maana sina historia chafu ya kukamatwa wala kufikishwa mahakamani kwa kuongoza migomo ama maandamano yasiyo na kibali. Hii yote ni kwakuwa napenda amani ndiyo
sababu sikukubali kufanya vurugu

SOURCE: Habari leo
 
Hii habari imebeba ukweli mwingi sana. Ni kweli kabisa ukiangalia matukio ya siku za karibuni na hasa kitendo cha Mbowe kumkatalia Zitto uenyekiti utagundua kabisa kuwa Chadema ni taasisi ya mtu mmoja. Habari zinasema kuwa pale kama huna uhusiano mzuri na Mbowe usitarajie kupata hata ujumbe wa chama. Si mnakumbuka jinsi ishu ya Heche ilivyopelekwapelekwa?
 
Huyo shitambala hatubi tabu kwani mbeya tunamtu anaitwa Mzee wa upako. Anamkabili vilivyo.
 
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Mkoa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Sambwee Shitambala ameendelea kukiponda chama hicho akisema ni cha wanafamilia wanaokitumia kujinufaisha.

Shitambala ambaye alikihama chama hicho, alikuwa akizungumza jana katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa madiwani katika Kata ya Majengo jijini Mbeya.

MwanaCCM huyo alisema Chadema chama hicho hakitaweza kupiga hatua kutokana na kuwa sawa na genge la wachache ambaao ni wana familia wanaokitumia kujinufaisha.

Alisema CCM ndicho chama kinachoonekana kutokuwa na mwenyewe.

Alisema vingine vipo chini ya watu wachache hali ambayo vimekuwa vikipeana
madaraka wao wenyewe.

“Tunataka chama kitakachokuwa cha Watanzania wote, ambao wakawa na kauli juu ya chama chao. Hatuhitaji chama kinachoongozwa na genge la wahuni.

Mtu kakianzisha kaweka hati nyumbani kwake, mwingine kaenda kaoa mke kwa mwenye chama kapewa uenyekiti.

Matokeo yake kinakuwa chama cha baba, mtoto na mkwe, hicho si chama,” alisema na kuongeza: “Mimi nilikuwa Mwenyekiti wao Mkoa wa Mbeya lakini nina historia ya kushindana nao katika suala la migomo.

Ndiyo maana sina historia chafu ya kukamatwa wala kufikishwa mahakamani kwa kuongoza migomo ama maandamano yasiyo na kibali. Hii yote ni kwakuwa napenda amani ndiyo sababu sikukubali kufanya vurugu

SOURCE: Habari leo

Mwongo mkubwa...........hapa alikuwa anafanya nini?

shitambala.JPG
 
Ina maana hilo kalijua leo baada ya kufukuzwa CDM?
Bahati mbaya hata CCM kina wenyewe, na asitarajie
kuwa kujikomba kwa kauli hizi na zile kutampa cheo
au nafasi flani ndani ya chama...
 
.
Matokeo yake kinakuwa chama cha baba, mtoto na mkwe, hicho si chama," alisema na kuongeza: "Mimi nilikuwa Mwenyekiti wao Mkoa wa Mbeya lakini nina historia ya kushindana nao katika suala la migomo.

Ndiyo maana sina historia chafu ya kukamatwa wala kufikishwa mahakamani kwa kuongoza migomo ama maandamano yasiyo na kibali. Hii yote ni kwakuwa napenda amani ndiyo
sababu sikukubali kufanya vurugu
DU MIGOMO NI HISTORIA CHAFU HI HIYO MPYA....UFISADI NI HISTORIA SAFI KABISA.....

SOURCE: Habari leo[/QUOTE]
 
rubbish.....

CCM your days are numbered, semeni yote mnayoweza lakini the truth is "wananchi wameshawachoka", na mnazidi kuporomoka kila kukicha. So this Chitambala whatever you call him, he is among those CCM loosers!!

Jiandaeni kuwapokea na wale madiwani 5, wanakuja CCM sababu nyie ndiyo mmewaponza kuwafundisha kukishitaki chama chao bila kujua hata sheria za vyama vya siasa.
 
Mkielemewa ndo mlivyo mna maneno mengi sana ya blaa blaa..... Mwishoni mtasema hata Mchungaji Msigwa ni binadamu yake mwanzilishi, Mr. 2 aliwah imba kwenye birthday ya mtoto wa mwanzilishi, Mnyika jirani yao pale mtaani, n.k....
This is non-sense, Tunataka sera nzuri za maendeleo sio chama cha nani?! Hata ww na mkeo au mmeo na ndugu zako mkianzisha chama tutaingia na kuwasapoti endapo tu mtakua na sera nzuri za kuiendeleza nchi yetu.
 
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Mkoa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Sambwee Shitambala ameendelea kukiponda chama hicho akisema ni cha wanafamilia wanaokitumia kujinufaisha.

Shitambala ambaye alikihama chama hicho, alikuwa akizungumza jana katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa madiwani katika Kata ya Majengo jijini Mbeya.

MwanaCCM huyo alisema Chadema chama hicho hakitaweza kupiga hatua kutokana na kuwa sawa na genge la wachache ambaao ni wana familia wanaokitumia kujinufaisha.

Alisema CCM ndicho chama kinachoonekana kutokuwa na mwenyewe.

Alisema vingine vipo chini ya watu wachache hali ambayo vimekuwa vikipeana
madaraka wao wenyewe.

“Tunataka chama kitakachokuwa cha Watanzania wote, ambao wakawa na kauli juu ya chama chao. Hatuhitaji chama kinachoongozwa na genge la wahuni.

Mtu kakianzisha kaweka hati nyumbani kwake, mwingine kaenda kaoa mke kwa mwenye chama kapewa uenyekiti.

Matokeo yake kinakuwa chama cha baba, mtoto na mkwe, hicho si chama,” alisema na kuongeza: “Mimi nilikuwa Mwenyekiti wao Mkoa wa Mbeya lakini nina historia ya kushindana nao katika suala la migomo.

Ndiyo maana sina historia chafu ya kukamatwa wala kufikishwa mahakamani kwa kuongoza migomo ama maandamano yasiyo na kibali. Hii yote ni kwakuwa napenda amani ndiyo
sababu sikukubali kufanya vurugu

SOURCE: Habari leo

Sasa yeye Shitambala ametuangusha wambeya maana alikua anaongeza idadi ya wambeya. Sisi tunakielewa chama chetu, kinakwenda safi katika kubalance hulka mbalimbali. Mjinga ndio anaweza asione yanayoendelea chadema.
 
Njaa mbaya jamani, waweza jikuta unafanya hata yasiyotegemewa. Mhurumieni huyo Shitambala mchumia tumbo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom