Elections 2010 Eti CCM wachukua jimbo la Tarime

Manyema

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
645
1,637
inasemekana msimamizi wa matokeo amemtangaza mgombea wa CCM kuwa mshindi huko Tarime baada ya kurudia kuhesabu kura.
 
Inasemekana au ni taarifa yenye uhakika mkuu? Maana naona sasa mambo mabaya yanaanza...na hiyo Tarime sijui wananchi watayapokeaje matokeo ya namna hiyo. I just hope matokeo yoyote yatakayotangazwa ni sahihi na kweli
 
Kwa Tarime inawezekana. Kumbukeni Mwera naye alikuwa na wapenzi wake binafsi ambao wamemfuata CUF. Chadema na Cuf watakuwa wamegawana kura...Team Work Spirit is needed
 
inasemekana msimamizi wa matokeo amemtangaza mgombea wa CCM kuwa mshindi huko Tarime baada ya kurudia kuhesabu kura.

Wenye akili zetu walishalijuwa hilo mapema!!! Isingewezekana mtu aliyeshinda 2008(Mwera) awe ameshapoteza wafuasi ndan ya muda mfupi!!!!
 
Back
Top Bottom