Elections 2010 Eti Asafiri kwa baiskel kutoka Geita hadi Dar......!!!!!!!!!!!!!

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,534
1,500
Leo mchana kupitia TBC1, wamemtangaza kijana mmoja aliyesafiri kwa baiskeli kutoka Geita hadi Dar kwa lengo la kumpongeza JK kwa ushindi wake....! Great Thinkers, hii imekaaje? Mbona mimi naona kama imepikwa?
 

Sokomoko

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,915
1,195
ETi hilo ni jina la mtangazaji wa TBC1 na kuhusu huyo kijana thread imeshaanzishwa tangu hajafika hapa dar usiwe mvivu kupitia forum kabla ya kuanzisha thread zako especial habari zinazoripotiwa na vyombo ya habari hapa nchini.

Topic Closed.........
 

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,162
2,000
Jk hana washauri maikini, waliomshauri hii technique kwamba itapunguza hasira za watu kwa kile alichofanyiwa na NEC, ndiyo hao hao wanaomshauri katika masuala mazito ya nchi yetu na yeye bila hiana hufanya maamuzi. Kwa mtu makini asingekubaliana na huu upumbavu. Hapa unaweza ukaiona kwa usahihi kabisa tofauti ya JK na Mkapa
 

zaratustra

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
849
225
Kama siyo ndondocha lake basi ni GAGULA! Si mnajua mambo ya Geita, Mwanza?????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!
 

BABA JUNJO

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
241
0
Huu ni uongo usio hata na soni.
Kwanini?
1. Tutajuaje kama kweli ametoka huko?
2. Je, alimwabia nani kuwa yeye anakuja Dar kwa baiskeli hivyo apokelewe?

Hebu watuache jamani mbona haya mambo ni ya kizamani sana enzi za mwaka 47? tulipokuwa tunaandamana kuunga mkono hotuba ya Kiongozi aliyotoa huko Kigoma, Arusha n.k.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom