Eti Ali Mayai kakosa wadhamini TFF, inawaaingia akilini aisee

Kifupi Dada alijiandaa mapema wengine wamekurupuka tu. Jamaa yetu humu kwenye uchaguzi kawe huko wajumbe 200kapata kura 1tu
Umetoa mfano mzuri. Watu wanaamini wakishajulikana basi inatosha, na wafuasi wao wanaamini kwa vile mtu wao anajulikana basi inatosha. Hivi vitu ni kujipanga na kuwa na mbinu sio kutia huruma na kusubiri lawama
 
Acha kufikiri kwa kutumia "sehemu za kukalia" , umesikia amekataliwa ama amekosa wadhamini?

Yani hata kama hakidhi vigezo unataka tu achukuliwe kwasababu anatoka upande mmoja wa muungano?
#AchaUpumbavu

Inaoneaknwa hukuwa ukipitia nyuzi humu jamvini ambazo watu walikua wakimwaga povu kuwa hawataki mgombea kutoka Zanzibar
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom