Ethiopia's GDP overtakes Kenya's

nyangau mkenya

JF-Expert Member
Mar 26, 2015
1,056
1,296
Country GDP 2016 in current US$ millions

70 Guatemala 68.142
71 Ethiopia 67.435
72 Kenya 64.688
73 Uzbekistan 61.649
74 Luxembourg 60.176
75 Costa Rica 56.908
76 Panama 55.755
77 Uruguay 53.145
78 Lebanon 52.797
79 Oman 51.679
80 Croatia 49.928
81 Bulgaria 49.364
82 Tanzania 45.899
83 Belarus 45.887
84 Tunisia 43.989
85 Slovenia 43.791
86 Macao SAR 43.623
87 Lithuania 43.024
88 Democratic Republic of the Congo 41.207
89 Jordan 39.795
90 Libya 39.315 0.053 48
91 Ghana 38.171
92 Serbia 37.381
93 Yemen 37.308
94 Turkmenistan 35.398
95 Azerbaijan 35.141
96 Côte d'Ivoire 34.668
97 Bolivia 33.983
98 Cameroon 30.296
99 Bahrain 30.079
100 Latvia 28.177
101 El Salvador 27.327
102 Paraguay 26.804
103 Uganda 24.995
104 Estonia 23.847
..................
138 Rwanda 8.490 0.011 9

Country 2015 GDP PPP Per Capita in International Dollars.

São Tomé and Principe 3,126
Cameroon 3,123
Kenya 3,083
Lesotho 2,616
Tanzania 2,590
Senegal 2,431
Mali 2,428
Chad 2,171
Benin 2,110
South Sudan 1,850
Uganda 1,825
Zimbabwe 1,794
Rwanda 1,759
Burkina Faso 1,659
Ethiopia 1,626
Sierra Leone 1,591
Gambia, The 1,585
 
Anything can happen ....let's wait and see if they can keap up next time
 
Huu ndio ushindani wa kweli, hongera Ethiopia kwa kutupita wakati na sisi tupo mbioni, sio kama wale wachawi wanatutakia mabaya kusudi tukwame ndio wapite. Ukimshinda mtu kwa mbio wakati yeye hajakwama sehemu, hapo ndio unaamini hata wewe unakua.

Watu wana mawazo kama ya vijiji vingine, kwamba nikijenga nyumba ya matofali, unaomba ianguke ndio iwe chini huko kama yako. Badala uombe upate nguvu na kufanikiwa kunifikia kwa kujenga yako ya matofali pia.
 
Tanzania inafanya vizuri, just 15 or 20 years ago tulikuwa wa 2 ama 3 kutoka mwisho duniani. Ha ha ha
Sasa unaweza kuona jinsi tulivyo kasi.
 
Tanzania inafanya vizuri, just 15 or 20 years ago tulikuwa wa 2 ama 3 kutoka mwisho duniani. Ha ha ha
Sasa unaweza kuona jinsi tulivyo kasi.

Mumkabidhi Kagame hiyo nchi ndio utaelewa nini maana ya kasi.
 
Mumkabidhi Kagame hiyo nchi ndio utaelewa nini maana ya kasi.

Hiyo propaganda Kagame anapigwa mchanga wa macho tu. ha ha ha ha
Mtu anapokutembelea lazima umsifie ajione kidume, kumbe una m Check tu.
 
Hiyo propaganda Kagame anapigwa mchanga wa macho tu. ha ha ha ha
Mtu anapokutembelea lazima umsifie ajione kidume, kumbe una m Check tu.

Hivi wewe unajua Kagame kaishi Bongo miaka ile na anawafahamu fika, nyie watoto Uswazi wa juzi ndio mnamtukana na hamna ufahamu yeye kafika vipi hapo alipo. huyo mtamkoma, ni mtendaji na akiachiwa hufanya jambo la kuonekana. Rwanda kaitoa mavumbini na sasa ni taifa la kutajika sana Afrika.

Mlimtukana sana jamaa lakini akakomaa tu, leo hii ndiye kampa darasa Magu jinsi ya kununua ndege, halafu isitoshe anawaleta vijana wataalam wake wao ndio wawaburuze nyie Waswahili hapo TRA. Eneo nyeti sana hilo.....
 
Wanataka kununua ndege 3 mwaka huu wa fedha 2016-2017 shirika lianze kufanya yake....
 
Hivi wewe unajua Kagame kaishi Bongo miaka ile na anawafahamu fika, nyie watoto Uswazi wa juzi ndio mnamtukana na hamna ufahamu yeye kafika vipi hapo alipo. huyo mtamkoma, ni mtendaji na akiachiwa hufanya jambo la kuonekana. Rwanda kaitoa mavumbini na sasa ni taifa la kutajika sana Afrika.

Mlimtukana sana jamaa lakini akakomaa tu, leo hii ndiye kampa darasa Magu jinsi ya kununua ndege, halafu isitoshe anawaleta vijana wataalam wake wao ndio wawaburuze nyie Waswahili hapo TRA. Eneo nyeti sana hilo.....

Ile ilikuwa kuchomekea tu, Kagame mtoto tumemlea na tummsomesha bongo hana jipya. Hata uanajeshi tummfundisha sisi , pale ilikuwa ni kuchomekea tu. Tulimtaka aachane na M23 ili turudishe majeda wetu home, hatutaki uadui na mtu yeyote.

Na hata kama mbona wakenya wapo kibao tu bongo ktk ICT, na hatujawakabidhi nchi? ama ulishafika UK, ukawaona jinsi wahindi walivyo wengi? Nchi inayoendelea siku zote huitaji human resources. Ukiona nchi haiitaji external resources yani wapo hapo wamejaa hicho ni indicator nchi hiyo imekwama.

angalia nchi kama US ama CANADA huwa hadi wanatoa green cards kwa watalaamu kutoka nje kwa sababu wanaendelea. Nchi kama Beralus ama Ukreine huwezi sikia wanaita watalaamu kutoka nje ya nchi.
 
Gdp inaendana mara nyingi na idadi ya watu,mpaka hapo uchumi wa ethiopia kwa nchi yenye watu milion karibu 100,poor
 
Ile ilikuwa kuchomekea tu, Kagame mtoto tumemlea na tummsomesha bongo hana jipya. Hata uanajeshi tummfundisha sisi , pale ilikuwa ni kuchomekea tu. Tulimtaka aachane na M23 ili turudishe majeda wetu home, hatutaki uadui na mtu yeyote.

Na hata kama mbona wakenya wapo kibao tu bongo ktk ICT, na hatujawakabidhi nchi? ama ulishafika UK? ukawaona jinsi wahindi walivyo wengi?

Hehehe!! Subiri uone mijitu mirefu imejaa hapo TRA kwenye taasisi nyeti, ikibonyeza bonyeza na kuongea Kinyarwanda huku mambo yakinyooka. Ndio utajua hamna cha kuchomekea tu, ni issue nzima.
 
Ethiopia has a population of about 101 million
Tanzania ''population 55 million
Kenya ''47 million
Uganda 40 million
Rwanda 11 million
 
Back
Top Bottom