Ethiopian SGR the worst SGR experience ever.BBC news.9th september

Ya Tanzania ni mkopo from
Turkey
Standard Chartered Bank
Africa Development Bank
China

Hello from the other side
Morogoro to Dodoma ndio part of the finance ni mkopo, na sio kutoka Turkey wala AfDB wala China, Dar to Moro sio mkopo

Isaka to Kigali ndio AfDB watatoa mkopo
 
Sasa mbna ulisema mradi haujakamilika...mbna hujielewi hv wewe..duh!!kwel ccm janga la taifa...

Miradi hewa ndio mnajigamba nayo...kamilisheni kwanza ndio mje muanze kutunisha misuli
We flying toilet za Kibera zimekuathiri.
Mrad hewa ni mradi ambao ulopangiwa kufanyika lakn haukufanyika km mrad wenu wa kilimo cha umwagiliaji.
Asa kwan wetu hautekelezeki???
Si unaona kaz inafanyika na mrad unaenda kwa kasi????
 
Nimekwambia hv...kamalizeni ndio mregee..yani nynyi jamaa hamjielewi..mmapiga kelele na vitu vyenye hamjui vitaisha lini na wala vitakuaje...

Watamzania bana...jf sio kijiweini...

SGR is justa railway with a track gauge of 1,435 mm. The standard gauge is also called Stephenson gauge after George Stephenson, International gauge, UIC gauge, uniform gauge, normal gauge and European gauge in the European Union and Russia.

It does mean, by any means, the services provided by the train operator. Remember that.
Ahsante sana. Duh kumbe umechemsha supu ya vitabu ukainywa.
 
Wakati wenzetu walifikia zaidi ya 200kmh mwa ka 1966 na bullet train na hivi wengine wapo kwenye zaidi ya 400kmh, Maglev Train. Sisi bado tunabishana nani zaidi wakati hata hizo train hatuziundi sisi.

Tunawategemea hao hao ambao kwa sasa wanakwenda zaidi ya 400kmh huku kwetu wana "dump" hizo teknolojia za miaka 60 nyuma.

Acheni kubishana kijinga.
 
Wakati wenzetu walifikia zaidi ya 200kmh mwaka 1966 na bullet train, na hivi wengine wapo kwenye zaidi ya 400kmh, Maglev Train, sisi bado tunabishana nani zaidi wakati hata hizo train hatuziundi sisi.

Tunawategemea hao ambao kwa sasa wanakwenda zaidi ya 400kmh huku kweti wana "dump" hizo teknolojia za miaka 60 nyuma.

Acheni kubishana kijinga. You are all losers.
 
I believe in progressive growth Faiza, hao wenzetu also passed a few stages kufikia hapo kwa technology ya 400km/h saii wanaelekea kwenye Magnetic levitation trains
 
Shida ya sisi ni kwamba tunafanyiwa, hatufanyi wenyewe.
 
I believe in progressive growth Faiza, hao wenzetu also passed a few stages kufikia hapo kwa technology ya 400km/h saii wanaelekea kwenye Magnetic levitation trains

Sasa sisi tume "progress" nini? Kuna train tuliyounda wenyewe?

Ukweli tuna "degression" siyo "progression".

Tunajivunia vitu ambavyo walivyyoviunda tukiwakasirisha hata parts hatutopata?

Ni upuuzi tu kubishana hapa kwa mambo ambayo binafsi hatuyawezi.
 
Kweli, but if they built for us the same level they are, do you think we will manage it well, especially if the one that was built a century ago, after some time nikama ilitushinda
 
Kwanini faida inayotokana na hizi railways isifunguliwe kituo cha "research" kwa "engineers" wetu ili miaka ijayo tuunde zetu wenyewe?

Tunakaa tunabishana tu kwa teknolojia ya wengine.
 
Wakati wenzetu walifikia zaidi ya 200kmh mwaka 1966 na bullet train, na hivi wengine wapo kwenye zaidi ya 400kmh, Maglev Train, sisi bado tunabishana nani zaidi wakati hata hizo train hatuziundi sisi.

Tunawategemea hao ambao kwa sasa wanakwenda zaidi ya 400kmh huku kweti wana "dump" hizo teknolojia za miaka 60 nyuma.

Acheni kubishana kijinga. You are all losers.
Including yourself
 
Nimekwambia hv...kamalizeni ndio mregee..yani nynyi jamaa hamjielewi..mmapiga kelele na vitu vyenye hamjui vitaisha lini na wala vitakuaje...

Watamzania bana...jf sio kijiweini...
Unaropoka sana kanywe supu ukate gongo.
 
Back
Top Bottom