Ethiopian Prime Minister Abiy Ahmed Wins Nobel Peace Prize

... kwa point hizo, undoubtedly alistahili!

He spent his first 100 days as Prime Minister lifting the country's state of emergency, granting amnesty to thousands of political prisoners, discontinuing media censorship, legalising outlawed opposition groups, dismissing military and civilian leaders who were suspected of corruption, and significantly increasing the influence of women in Ethiopian political and community life. He has also pledged to strengthen democracy by holding free and fair elections.
 
Vita vimeharibu kila kitu!

Chanzo kikubwa cha vita ni Watigrinya kuanzisha vurugu baada ya kuona ushawashi na fursa walizokuwa wamehodhi Ethiopia kwa muda mrefu vinapotea taratibu chini ya utawala wa Abiy.
Hatuwezi kujua ikiwa ilikuwa Vita vya hiari au lazima.

Ila maelfu wameuawa na uhalifu mkubwa umetokea hasa huko Tigray.
 
Chanzo kikubwa cha vita ni Watigrinya kuanzisha vurugu baada ya kuona ushawashi na fursa walizokuwa wamehodhi Ethiopia kwa muda mrefu vinapotea taratibu chini ya utawala wa Abiy.
Sasa kwanini alialika jeshi la nchi jirani adui wa Tigray (Eritrea) ambalo limefanya unyama mkubwa dhidi ya Watigray tena ndani ya ardhi yao ?
 
Itakuwa panic baada ya kuona vita inakuwa ngumu, hao Watigrinya ni wapiganaji vita mahiri sana wa muda mrefu na Abiy pia sio smart military strategist, alikuwa mwanajeshi anayesimami kitengo cha mawasiliano na mitandao cha Ethiopia ambacho pamoja na kudhibiti sekta ya mitandao kilikuwa kina kazi ya "kutrepu" wapinzani na wakosoaji.

Huu mzozo ni kama vile haukupata 'coverage' kubwa na wenye dunia yao labda hiyo 'nobel' imesaidia kidogo, vinginevyo wangemsumbua sana Abiy kwa uhalifu uliofanywa na Eritrea huko Tigray.
 
Back
Top Bottom