Ethiopian Prime Minister Abiy Ahmed is scheduled to visit Kenya for two days

A better view of the spartan

EozEfyrW8AQZZUH.jpeg
EozEkCLW8AIMv5b.jpeg
 
Tony254 mbona sioni hata kiashiria cha folklift? Hii berth has a long way to go! Sina uhakika if there is even power on that port! Leave aside enough storage area for containers!
 
Power ipo. Kwani huoni street lights? Halafu unataka folk-lift ya nini na bado ujenzi wa port haujakamilika? By the way folk-lift sio ngumu kupurchase kama crane. Folk-lift ni rahisi kuinunua from the international markert hata bila pre-order. Hata Mombasa port ina folk-lifts nyingi tunaweza chukua kadhaa wakati port imekamilika. Lakini wacha port ikamilike kwanza. Berth 2 nimeshaiona iko karibu kukamilika. Halafu kumbuka hizi berths ni kubwa kushinda za Mombasa port au Dar port kwa hivyo kuwa na subira.
 
leta evidence ya uwepo wa grid hizo taa ni solar!
 
Back
Top Bottom