Ethiopian Airlines to receive its first Boeing 787 Dreamliner Next Week - 3rd B787 Dreamliner

ethioaa

New Member
Aug 2, 2012
3
1

EthiopianDreamliner.jpg Ethiopian Airlines announced on Monday that it will take delivery of its first Boeing 787 Dreamliner on
August 14, 2012, in Seattle, Washington.

“Ethiopian Airlines is proud to be the first airline from Africa, Europe, Americas and Middle East to take delivery of the Dreamliner, and to be able to offer its passengers the ultimate travel experience on-board this game changing aircraft before other carriers,“ the airline said.

"The fact that we are the first airline outside Japan to receive this ultra modern aircraft is an affirmation of our continuing pioneering role in African aviation. It is also a testimony of our commitment to give our passengers the best possible travel experience, with the best industry products and services." said Tewolde Gebremariam, CEO of Ethiopian.

After taking delivery, Ethiopian will fly its Dreamliner to Washington D.C. the next day, where the aircraft will be on display. During the exhibition, Ethiopian Dreamliner is expected to be visited by US Senators and House Representatives as well as Ambassadors, Executives from the World Bank and IMF, members of the Ethiopian community, the media and other invited guests.

Ethiopian 787 Dreamliner, the first to be received by a non-Japanese carrier, will make its historic trip to Africa and will touchdown at Bole Addis Ababa International Airport on August 16, 2012. The airline will hold celebrations in Addis Ababa for the arrival of the aircraft and will soon announce its first Dream destinations.

Ethiopian Airlines to receive its first Boeing 787 Dreamliner Next Week

Ethiopian to Receive 3rd B787 Ever Manufactured
 
What is difference btn Air Tanzania and Ethiopian Airline. While Air Tanzania can not crew, stand or walk alone Ethiopian Airline is running, competing at the London Olympic coming up with Gold medal. Is this a curse to Air Tanzania?
 
View attachment 61178Ethiopian Airlines announced on Monday that it will take delivery of its first Boeing 787 Dreamliner on
August 14, 2012, in Seattle, Washington.

“Ethiopian Airlines is proud to be the first airline from Africa, Europe, Americas and Middle East to take delivery of the Dreamliner, and to be able to offer its passengers the ultimate travel experience on-board this game changing aircraft before other carriers,“ the airline said.

"The fact that we are the first airline outside Japan to receive this ultra modern aircraft is an affirmation of our continuing pioneering role in African aviation. It is also a testimony of our commitment to give our passengers the best possible travel experience, with the best industry products and services." said Tewolde Gebremariam, CEO of Ethiopian.

After taking delivery, Ethiopian will fly its Dreamliner to Washington D.C. the next day, where the aircraft will be on display. During the exhibition, Ethiopian Dreamliner is expected to be visited by US Senators and House Representatives as well as Ambassadors, Executives from the World Bank and IMF, members of the Ethiopian community, the media and other invited guests.

Ethiopian 787 Dreamliner, the first to be received by a non-Japanese carrier, will make its historic trip to Africa and will touchdown at Bole Addis Ababa International Airport on August 16, 2012. The airline will hold celebrations in Addis Ababa for the arrival of the aircraft and will soon announce its first Dream destinations.

Ethiopian Airlines to receive its first Boeing 787 Dreamliner Next Week

Ethiopian to Receive 3rd B787 Ever Manufactured

Wenzetu wanapozidi kupaa sisi na ATCL yetu ndiyo tunarudi katika ujima! Siyo muda mrefu tutaanza kupaa kwa ungo!
 
ethioaa wewe ni mdau wa ethopian..? kuna tatizo la kupotea kwa mizigo sometimes kuibiwa kwa vitu pia sanasana tukiwa tunarudi Africa .. hili tatizo linakuwa sugu kwa ethopian mjaribu kulitatua
 
Tanzania tunaendekeza siasa na porojo, wenzetu wako serious na maendeleo.
 
tuna mikakati ya kuanzisha usafiri wa anga kwa ungo, jiandaeni kuipokea hiyo ndege jamani ya aina yake hapa duniani
 
Comparing defunct Air Tanzania with Ethiopia Airways is like comparing a snail to a tiger. Ours has always been a country of thieves in power who lack any patriotism even in small matters. Do you remember how, one time, former PM Sumaye reported about receiving aid to dig pit latrines for schools? If anything, our venal rulers-cum-looters are good at one thing-ruining and screwing our country.
 
hivi ndio vipaumbele vyetu

magari ya kifahari kwa kila idara v8,vx
kupeana ulaji na posho kubwa
kuwa na hisa precision kwa hivo hatuna haja na air tanzania
kurudisha ndege iliokodiwa kwa vile inauwa biashara nzuri ya precision na kwa vile ilikodiwa bila wakubwa kupewa cha juu
ufisadi nk hvi ndio vipaumbele vya sasa na ilani yetu sasa mnataka tununue ndege za nini kwani mafuso yameisha??????

Huko si kipaumbele kwetu.....nikukumbushe kidogo vipaumbele vyetu.... vitambulisho vya taifa, kuhamia makao makuu, sensa, uchaguzi 2015, mgao wa umeme, leseni za magari (card), kuongeza wilaya, mikoa (ukubwa wa serikali)....ok kuzuia migomo na maandamano ya...
 
hivi ndio vipaumbele vyetu

magari ya kifahari kwa kila idara v8,vx
kupeana ulaji na posho kubwa
kuwa na hisa precision kwa hivo hatuna haja na air tanzania
kurudisha ndege iliokodiwa kwa vile inauwa biashara nzuri ya precision na kwa vile ilikodiwa bila wakubwa kupewa cha juu
ufisadi nk hvi ndio vipaumbele vya sasa na ilani yetu sasa mnataka tununue ndege za nini kwani mafuso yameisha??????

Nakuhunga mkono mkuu, yaani kwa watu ambao tuko concern kikweli kweli na hatma ya TAIFA letu mambo mengine yanatia simanzi sana! Vipaumbele vyetu ni vya ajabu sana, ulimbukeni na umangameza umezidi na hakuna anaye chukuliwa HATUA.

Chukulia mfano wa ndege ya ATC iliyo pata ajali wakati inatua uwanja wa ndege wa MWANZA - huu ulikuwa uzembe wa rubani, yeye kama ni mtalaam aliye somea mambo ya fluid mechanics anataka kueleza kwamba hajuhi madhara ya kukatisha KWENYE dimbwi la maji ukiwa kwenye speed KUBWA! Hebu siku moja ujaribu kukatiza kwenye dimbwi la maji barabarani ukiwa unahendesha gari yako katika mwendo kasi wa zaidi ya 60 KMH uone litakalo tokea.

Kuhusu Precision Air, hii kampuni injitahidi sana kusema kweli lakini the big question is - who's behind the successful story of the AIRLINE? Pamoja na mapungufu yetu unafikili washindani wetu watakubali ATC ifufuliwe tena, watafanya lolote kuwarubuni viongozi wasio waminifu waweke spana katika ufufuaji wa ATC - tuna kibarua kikubwa katika TAIFA letu uzalendo umekwisha kwenda na maji.
 
hivi ndio vipaumbele vyetu

magari ya kifahari kwa kila idara v8,vx
kupeana ulaji na posho kubwa
kuwa na hisa precision kwa hivo hatuna haja na air tanzania
kurudisha ndege iliokodiwa kwa vile inauwa biashara nzuri ya precision na kwa vile ilikodiwa bila wakubwa kupewa cha juu
ufisadi nk hvi ndio vipaumbele vya sasa na ilani yetu sasa mnataka tununue ndege za nini kwani mafuso yameisha??????
Mkuu hapo kwenye red kua makini na uchangiaji hoja wako kama hauna chuki ndani yake!
 
sina chuki nao ila ukweli uko wazi, majuzi wakati air tanzania imekodi
ndege na kusababisha nauli kushuka hivo kuathiri
soko la precision do u know what happened?
Hivi kwanini Chizi kafukuzwa? mawaziri wenye hisa na viongozi
wanaopokea salio kutoka ktk hiyo kampuni wawajua?
kama sivo hebu kampuni ije ikanushe hapa...
afu tunaambiwa eti air tanzania inapata hasara kwa vile
haingizi faida wameirudisha ili waweke terms sawa au
wakodi kampuni ingine just imagine...hivi hatuna akili eeehhhhh?
changa la macho hilo kama ilivokuwa kwa ishu ya rada eti walikosea
mahesabu.vichwa vingapi vikosee mahesabu yote hayo?
shtuka ndugu utajikuta ushauzwa bila kujijua.

mwenzetu kawaza hivi
Kuhusu Precision Air, hii kampuni injitahidi sana kusema kweli lakini the big question is - who's behind the successful story of the AIRLINE? Pamoja na mapungufu yetu unafikili washindani wetu watakubali ATC ifufuliwe tena, watafanya lolote kuwarubuni viongozi wasio waminifu waweke spana katika ufufuaji wa ATC - tuna kibarua kikubwa katika TAIFA letu uzalendo umekwisha kwenda na maji.​

Back
Top Bottom