spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,220
Wanapeleka Ethiopia kwa Wahabeshi au Somalia?Wamejiwekeza kwenye usafirishaji wa miraa zaidi kwa sasa....
Safi sana
Ni mafuriko...
Wanapeleka Ethiopia kwa Wahabeshi au Somalia?
Hii week nashuhudia mabeberu wengi sana moshi na arusha
Somalia wamepigwa stop kwa sababu wataeneza coronaWanapeleka Ethiopia kwa Wahabeshi au Somalia?
Na KQ isifunguliwe hivyo hivyo ili mtalii yeyote akienda Kenya bc iwe imekula kwakeMdogo mdogo kenya watajikuta wamebaki na watalii kutoka somalia tu kwenda kutalii mashamba ya mirungi