Ethiopia yamuapisha kiongozi wa Upinzani kuwa Mkuu wa Tume ya Uchaguzi

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Birtukan Mideksa ambaye pia ni Jaji wa zamani amepewa nafasi hiyo baada ya kurejea Ethiopia mwezi huu akitokea uhamishoni Marekani alikoishi kwa miaka 7

Bi. Birtukan alikuwa miongoni mwa viongozi kadhaa wa Upinzani waliofungwa baada ya mgogoro katika uchaguzi wa mwaka 2005 uliosababisha vifo vya mamia ya watu

Anakabiliwa na jukumu kubwa la kurudisha imani ya watu kwa tume ya hiyo baada ya kushutumiwa kuwa inatumiwa vibaya na Serikali

Hii ni moja ya mabadiliko anayofanya Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Abiy Ahmed ambaye tangu achukue ofisi Aprili mwaka huu amefanya mabadiliko makubwa ikiwemo kusuluhisha mgogoro wa Ethiopia na Eritrea

1.jpg
=====

A former judge and leading opposition figure has been sworn in as the head of Ethiopia's electoral board.

Birtukan Mideksa is the latest significant appointment of a woman to a key public office.

Ms Birtukan returned to Ethiopia earlier this month after seven years in exile in the US.

She was among dozens of opposition leaders jailed after the disputed elections of 2005 that led to the deaths of hundreds of people.

The BBC's Emmanuel Igunza in the capital Addis Ababa says she faces a key challenge in restoring faith in an electoral board that has constantly faced accusations of being manipulated by the state - and will oversee elections in May 2020.

Prime Minister Abiy Ahmed has carried out wide-ranging reforms since coming to office in April.

These include making peace with neighbouring Eritrea after two decades of conflict, freeing political prisoners and welcoming back armed opposition groups from exile.

The 42-year-old leader has also given half of the government's 20 ministerial posts to women and last month the parliament chose Sahle-Work Zewde as the country's first female president, a ceremonial role.

Recently he was commended for appointing renowned human rights lawyer Meaza Ashenafi - whose efforts to tackle the underage marriage of girls formed the basis of an Angelina Jolie-produced Hollywood film in 2014 - as the country's most senior judge.
 
Exemplary leader in the region
 
Ethiopia sio wenzetu. Japo kuna machache yanawarudisha nyuma kama racism kati ya wenye asili ya somali na wengine ila jamaa wapo mbali sana.
 
haya mambo ndio jiwe anapaswa kuambiwa.........

yeye anadhan midege na reli ndio raia wanapenda..... mtu wa ajabu kweli
 
Huyu PM wa Ethiopia ni mfano wa mtu aliyezaliwa kiongozi, laiti sisi huku tungekuwa na wa type hii watu tungekosa cha kuandika humu, Huyu utafikiri sio mwafrika.

Kwa muda mrefu, Ethiopia imekuwa na viongozi wengi "Bogus" wasioelewa hata "Rudiments" za uongozi na ujio wa Abiy Ahmed, imetokea ki Mungu Mungu tu.

Kitu ninachoona hata hapa Tanzania, ndugu zetu waislam wakati wanatawala angalau tawala zao huwa zina chembe za ubinadamu na hawana kibri wawapo madarakani tofauti na sisi wakristo ambapo tuwapo madarakani ni ubabe tu na vitisho kibau kwa raia.

Viongozi wakristo hawatumii maandiko ya msaafu wao kama dira ya kuwaongoza wawapo madarakani tofauti na waislam ambao wawapo madarakani wanakuwa na hofu fulani ya Mungu.

K/mfano, swala la wenye vyeti feki, Kikwete aliliona ila aliacha kulishughulikia purely on humanitarian grounds kwani alifahamu kuna hata wakubwa wengi waliokuwa wamefoji vyeti vile vile na hata bomoa bomoa alipeta wasibomolewe. Nimechoka niachie hapo.
 
Huyu jamaa nampa heshima yake hasa nikikumbuka alivyo solve lile tatizo la wanajeshi kuandamana wakiwa na silaha mpaka Ikulu .

Angekuwa mwingine hao wanajeshi ama wangekuwa Marehemu au Jela maisha.

Watu wa hivi ndio wanastahili kuombewa ,Jamaa simjui ila nimejikuta nasema Mungu mbariki ,wakati kuna dubwana nalijua kila siku linalia mniombee hata kumuombea naona nitafanya kufuru
 
Hapo sasa ndio uzalendo unapoanza, maana kila raia anajisikia fahari kushirikishwa kwenye kuinyanyua nchi.. Kazi kwao sasa wananchi wote wa Ethopia kujitolea kwa hali na mali kuinyanyua nchi yao..

Sie huku bado bado tupo sana na mfalme wetu..
 
Ethiopia sio wenzetu. Japo kuna machache yanawarudisha nyuma kama racism kati ya wenye asili ya somali na wengine ila jamaa wapo mbali sana.
Nihuyu Waziri Mkuu aliepo ndio anaamini Maendeleo ya Nchi sio vitu kama wapuuzi wengine Africa wanavyoamini wakijenga kisima cha maji wanaita Maendeleo so wako tayari wengine wauliwe kwakuwa tu hawakuunga mkono kisima cha maji
 
Ethiopia sio wenzetu. Japo kuna machache yanawarudisha nyuma kama racism kati ya wenye asili ya somali na wengine ila jamaa wapo mbali sana.
Toka kuingia huyu jamaa Abiy Ahmed Ethiopia inapiga hatua sana kwenye suala la utawala bora, ndio maana maafisa polisi wengi sana waliokuwa wanatesa wapinzani nchini humo wamekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya uvunjifu wa haki za binadamu
 
Back
Top Bottom