Ethiopia: Waziri Mkuu atangaza kuongoza Vikosi katika mapigano

Wewe unaishi Tanzania? JPM aliwafanya nini? panya wote walijificha mwenyeketi wao tuandamane akajikuta yuko peke yake. Maalim Seif alikuwa ana ushawishi mkubwa kwao hakutoka hata mtu mmoja. Kaja Mama kambambika kesi mwenyekiti sijui mwezi wa ngapi yuko ndani kimyaa wote wako busy mitandaoni. kusimamia haki ujasiri sio kelele nyuma ya keyboard. Na yule mzee sikuwahi kumpenda ila leo ningependa angekuwa hai maana alijuwa kuwanyosha. Mama alitaka kuanza na upole wakamwambia Mama watakupanda kichwani matokeo tumeyaona. wakati mwingine tunahitaji watu makatili ili kunyoka.

Mkuu unapofanya hayo unaongeza pressure kwenye mtungi wa gesi na huko mbele ukiripuka huwezi kuzuia tena . Nguvu kabisa hazijengi nchi zinazalisha chuki ya ndani kwa ndani na yakianza ndio hayo yaliyotokea Syria .
 
Mapovu sawa tu ila sisi Zanzibar ni mkoa tu kama mikoa mingine wala hatuwachulii serious na ushukuru mko Tanzania ndio maana unaona amani huko mngekuwa wenyewe kwa wenyewe mngechinjana kama mbuzi history yenu iko wazi pesa iko bara huko nikumpumzika tu baada ya kutafuta huku. uchaguzi wala hatuwaingilii tunawachagulia nani wa kuwaongoza tu basi na anaongoza.

Hapa ndio pa kusoma , hayo yaliyokuwa na yanayotokea Zanzibar yalikuwa hayapo huko bara , lakini kidogo kidogo yameingia na yakikuwa hayo yatokeayo Ethipia yatakuwa ni trailer tu, Mungu atupe uhai
 
This lovely mountainous country with beautiful coffee loving people is under the siege, the devil is tearing this country into pieces
There's nothing wrong with the devils, They should have committed uovu at some point that's why the almighty GOD has allowed Satan's to take over.
They should not fight the devil's rather they should ask for Mercy, so that God will no longer allow the Satan's to take the lead on Ethiopians
 
Mimi siwajui hao wa Tigray lakini tujiulize leo wakija wasukuma wakasema wanataka kupewa madaraka zaidi serikali itafanya nini? au hao wa Zenji leo wasema tunataka nguvu zaidi watafanywa nini? Tigray ni sehemu ya Ethiopia tukianza kuunga mkono vikundi ndani ya nchi hata kwetu yanaweza kutufika nashangaa watu wanaounga mkono uasi ndani ya nchi. Hii issue imechochewa na nchi za nje pamoja na Egypt na issue yote ni haya maji ya Nile.
Wachache Sana wenye uelewa huo.Wengi upeo wao ni SIasa za CCM na Chadema.
 
Huyo waziri aachie ngazi mara moja, shabaha ya waasi ni kujitawala, sasa kitendo cha waziri mkuu kutangaza kuingia mstari wa mbele dhidi ya waasi, anachochea moto ambao hataweza kuuzima.
Waasi gani miaka 27 wametawala wamefanyia nini Ethiopia? kuondolewa madarakani imekuwa shida wao ni wachache lakini wamekuwa wanatawala wa Ethiopia kwa miaka kukosa madaraka imekuwa shida. Hawa kuambiwa madaraka lazima yawe na serikali kuu kwao ndio shida waziri mkuu alitaka kuondoa kujimilisha nchi kwa hawa TPLF wanadhani wao wana haki juu ya wengine. msiwe na support vitu bila kujuwa chanzo ni nini. Vyombo vya usalama kwa miaka vilikuwa chini yao na wakataka kuleta vurugu warudi madarakani. Ni kama siku CCM waondolewe halafu waanzishe uasi kutaka kushika serikali kwa nguvu haiwezekani.
 
Back
Top Bottom