Ethiopia war update (Vita sasa vimeingia kwenye ardhi ya Tigray)

Azerbaijan ilipoteza Wanajeshi wengi Sana Mpaka ikaelekea kushindwa kabisa ndipo Wanajeshi wa Uturuki ikawabidi waingie Frontline Wenyewe.
Armenia awali alikuwa vizuri sana na kuelekea kuwazidi Azerbaijan.Lakini baadae haswa baada ya matumizi makubwa ya Drones za Uturuki,Armenia alishindwa vibaya ambapo mamia ya vifaru vilivyokuwa frontline viliteketezwa na askari wengi kuuliwa.Drones were game changer in favor of Azerbaijan
 
Hata huko Ethiopia kuna wakati waasi wa Tigray walijigamba wanaweza kuingia mji mkuu muda wowote, ila Abiy alipoagiza drone za kituruki na mamia ya raia kuhamasika kwenda vitani, waasi wamerudishwa nyuma sana mpaka wanataka mazungumzo na huenda wakadhibitiwa.
 
Hamu yangu Ni Kuona Balance of Power huko Ethiopia. Abiy Ahamed anataka kuwa more Powerful which is very Dangerous.
Balance gan ya power , yaan kuwapa kiburi Tplf ndo balance ya powerv? hv upo timamu ww ? yaan unataka balance ya power kati ya serikali kuu na serikali ya jimbo kwa kuruhusu serikali ya jimbo iwe na sauti sawa au zaid ya serikali kuu ? acha upuuz wako wa ukawa , sio kila nchi unaingia na akili zako za UKAWA
 
Armenia alilazimishwa kusaini Mkataba wa Amani na Urus ambaye Ni mshirika Mkubwa wa Armenia Kijeshi.

Hakuna sehemu iliposemwa kwamba Armenia Imeshindwa Vita dhidi ya Azerbaijan Bali Ni Maoni ya watu baada ya Armenia kurudisha Majeshi yake kutoka Nagro-Karba.
Una asili ya ubishi
 
Hamu yangu Ni Kuona Balance of Power huko Ethiopia. Abiy Ahamed anataka kuwa more Powerful which is very Dangerous.
Unataka kuona balance of power kati ya Serikali na Waasi? Real!

Unahitaji kupimwa akili. Waasi wameharibu vituo vya afya, wanaua raia, wamevamia kituo cha Jeshi n.k halafu wewe unataka balance of power!!!! Hizi akili za CHADOMO wakati mwingine muwe mnazificha kidogo.
 
Samora , nkwame, mutalla, patrice, muhamad, hao ndo walikuwa na mtazamo wa dhati na africa kwa kipindi kile na sio nyerer mtamo wake ulikuw juu ya kanisa
Kasome vizuri historia ya Samora utaona makosa yake....kukosea kupo tu maadam hakuna binadamu mkamilifu.
 
Kasome vizuri historia ya Samora utaona makosa yake....kukosea kupo tu maadam hakuna binadamu mkamilifu.
Haya sema na hao wengine, makosa sawa yapo ila mi naongelea watu walokuwa na nia ya dhati na african wakiwemo wa hiv karibun km ghadafi, mugabe, mursi
 
Haya sema na hao wengine, makosa sawa yapo ila mi naongelea watu walokuwa na nia ya dhati na african wakiwemo wa hiv karibun km ghadafi, mugabe, mursi
...Hata hao kina Mugabe,Gadafi,Mursi wana makosa kibao tu....labda kidogo Patrice maana hakuishi muda mrefu ila hao wote wana makosa walifanya.

Nimeshakwambia hakuna binadamu mkamilifu hivyo kukosea kupo tu kumbuka kwamba nchi zetu ndio kwanza zilikuwa zimepata Uhuru na uzoefu wa kujitawala hatukuwa nao hivyo kukosea kusinge-epukika.
 
Hamu yangu Ni Kuona Balance of Power huko Ethiopia. Abiy Ahamed anataka kuwa more Powerful which is very Dangerous.
Abiy awe more powerful THAN NANI!? Na ni dangerous kwa NANI? Abiy ni chaguo la Waethiopia - haijalishi kaingia madarakani kwa mlango na staili gani - yeye, Abiy ni for the Ethiopians, ila hawezi kuwa ZAIDI ya Waethiopia, ndiyo maana yuko FRONT kwa ajili yao!
 
Samora , nkwame, mutalla, patrice, muhamad, hao ndo walikuwa na mtazamo wa dhati na africa kwa kipindi kile na sio nyerer mtamo wake ulikuw juu ya kanisa
Chuki kitu kibaya sn , hv huoni krb wote hao hawakutoboa , hiyo ni ishara tosha kuwa walichofanya hakikuungwa mkono ndani ya mataifa yao , Nyerere aliuunganisha Raia wa Tanganyika kisha akaweza pia kuwaleta pamoja Tanganyika na Zanzibar pia kasaidiq harakati za ukomboz nchi za Msumbiji , Zimbabwe , South Afrika na Namibia na ukombozi wa Uganda dhidi ya dikteta Idd Amin pia , ntajie hao unawasifia walisaidia kwenye bara la Afrika

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Abiy ni kiongozi wa serikali ya shirikisho hivyo kuwa na nguvu sio kosa mradi iwe kikatiba isiwe kwa kupora madaraka ya serikali za majimbo.

Ila Armenia alizidiwa sana, zile drone ziliharibu sana zana zao na kuua mamia ya askari wao na kama si hayo makubaliano huenda askari wengi wa Armenia wangekuwa hatarini.
Drone za mturuki nux,uliza kule Libya,huko armeni na Sasa Ethiopia,Ukraine kaamua kinunua
 
Chuki kitu kibaya sn , hv huoni krb wote hao hawakutoboa , hiyo ni ishara tosha kuwa walichofanya hakikuungwa mkono ndani ya mataifa yao , Nyerere aliuunganisha Raia wa Tanganyika kisha akaweza pia kuwaleta pamoja Tanganyika na Zanzibar pia kasaidiq harakati za ukomboz nchi za Msumbiji , Zimbabwe , South Afrika na Namibia na ukombozi wa Uganda dhidi ya dikteta Idd Amin pia , ntajie hao unawasifia walisaidia kwenye bara la Afrika

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Tafuta vizuri muungano wa tanganyika na zbar ulipotoka,muungano wa hiyari ufanyike jumapili!?..mzee mihangwa alieleza huko nyuma,ngoja tule xmass kwanza
 
Ushaanza porojo mkuu inamaana hukuona hata video za siku ya muungano ? hapo ndo nasemaga mswahili akishiba makande kila kitu anakieleza ajisikiavyo

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
26/4/1964 ni jumapili,kwa nini muungano usainiwe jumapili bwana,palikua na haraka gani watu tinaenda kwenye misa!!?
 
Wa Tigray baada ya kupokea kichapo heavy waanza kutafuta wapatanishi kutoka Kenya👇

3043062_FHC3UabWQAAM86E.jpeg
 
Ni ngumu kujua kilichotokea huko. Hawa wote ni wababe wa vita. Ni kama vile Libya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom