Ethiopia wamejenga reli ya treni ya umeme mpaka bandari ya Djibouti,hawatatumia bandari ya DSM!

Kila kitu lazima mpinge ili muonekane mnaakili, wamesema wao we na dona lako upinge.......subiri wakati.
Basi wewe unga mkono kila kitu,mbona na yeye alipinga tangazo la mwakyembe kuhusu vyeti vya kuzaliwa na ndoa
 
Fuatilia kwanza mikataba inasemaje kuhusu utekelezaji wa hizo ahadi, kumbuka hizo ni fedha na hizo ni projects kubwa, sio kama maji unafungua tu bomba yanatoka. Yapo mambo mengi sana behind unapaswa ujiulize, inawezekana Morocco waliahidi kutoa hzo fedha baada ya utekelezaji wa bajeti yao mpya au vinginevyo
Kujenga msikiti ni project kubwa?
 
We utakuwa ni walewale team wema aka pingapinga......tambua kwamba mizigo hiyo itakuja kwa njia ya bahari (bandari) then kuondoshwa kupelekwa ethiopia kwa ndege za mizigo.
Duh!

Hii kali, mizigo inaletwa kwa meli halafu inapakiwa kwenye ndege mpaka Ethiopia.....kontena ngapi kwenye ndege?
 
Ngosha ametufanya watz mazuzu!!!!
Akili yake kama ya Bashite
Ndo maana wanapendana sana, they have something in common, Bashite Brain!!!!!!
 
Nchi ya viwanda wakati unazalisha umeme MW 1000 nchi mzima. Ethiopia wanazalisha umeme MW 13000 wana sifa ya kuwa taifa la viwanda
Kama wana viwanda basi mizigo itakuja tu Bandari ya Dar. Port of origin: Djibout na Port of Destination ni DSM. Vibiriti, kahawa, makoti ya ngozi, toothpick na nyama zitaishia bongo, wazamiaji haramu ndio tutawarudisha Ethiopi kwa njia ya barabara. Simple
 
Juzi tu Ethiopia wamezindua usafiri wa treni ya umeme kutoka Ethiopia mpaka bandari ya Djibouti,bandari hii iko baharini jirani na ethiopia kuliko ya Dsm.

Tumesikia JPM akisema eti Ethiopia watakuwa wanatumia bandari ya DSM kuleta mizigo kisha wanaisafirisha mpaka Ethiopia

Kwanza umbali ni mkubwa,mzigo ufike Tanzania kisha urudi nyuma kwenda kenya,somalia,kisha Ethiopia.

Pili,hawa jamaa wamezindua reli mpya ya kisasa ya umeme hata mwaka haijamaliza,mabehewa ya abiria ni mazuri kuliko bombadier (kwa ndani)


Hivi nani alishauri hili liwe sehemu ya mazungumzo?

Nadhani waziri Mkuu wa Ethiopia kaondoka na question mark kuhusu tanzania
Wanasafirisha na ndege mkuu siyo barabara
 
Kila kitu lazima mpinge ili muonekane mnaakili, wamesema wao we na dona lako upinge.......subiri wakati.

Wewe ni Mjinga Mkubwa hata jiografia hujui!!! Nijibu swali lifuatalo
1. Nchi gani yenye bandari inapakana na ethiopia?
2. Bandari ipi iko iliyo jirani zaidi na Ethiopia?
3. Rais gani zuzu mpenda kick asiyejua hata jiografia anawadanganya wananchi wake?
 
WANANCHI WAMESUSA KUHUDHURIA SHUGHULI !
INABIDI WALIPWE NDIO WAENDE KWENYE SHUGHULI ZA KISERIKALI!
 
Unajua kazi ya reli yao iliyofika bandari ya Djibout? Au haulijui hilo? Muwe mnafikiria kwanza kabla ya kuleta upupu wenu uku na uyo kiongozi wenu asiejua chochote.
mizigo itakayofika bandarini sio lazma iende ethiopia.....hapa wanafungua center ambayo mizigo ikishushwa itakuwa ikisambazwa nchi nyingine kupitia shirika lao la ndege
kumbuka shirika lao la ndege linaenda nchi nyingi duniani
 
Weka hapa huo uelewa wako
mkuu wewe huishi ndani ya kipuyu na kila mtafaruku unaotokea baina ya nchi na nchi dunia yote unausikiya, sasa wewe tuambie, hali ya hewa gani ilio badilika kati ya Ethiopia na Djibouti ipelekeye Waethiopia waache kutumia Reli yao na bandari ya Djibouti yenye urefu wa 470maili tena kwa mwendo wa masaa 11 tu, waje huku tz?
 

Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    9.5 KB · Views: 26
  • images.jpg
    images.jpg
    10.4 KB · Views: 33
  • jabuti.jpg
    jabuti.jpg
    8.6 KB · Views: 31
Fuatilia kwanza mikataba inasemaje kuhusu utekelezaji wa hizo ahadi, kumbuka hizo ni fedha na hizo ni projects kubwa, sio kama maji unafungua tu bomba yanatoka. Yapo mambo mengi sana behind unapaswa ujiulize, inawezekana Morocco waliahidi kutoa hzo fedha baada ya utekelezaji wa bajeti yao mpya au vinginevyo
Fuatilia na wewe halafu uniambie..
 
Jamani watanzania wenye akili na mawakili wetu tusaidiane twende mahakamani tufungue shauri la kuomba kiongozi wetu wa nchi apimwe akili?? Hivi hata kwa akili ya kawaida tu hajui Ethiopia inapakana na nchi zipi zenye Bandari?
Eti mzigo upitie dar port then upandishwe ndege mpaka Addis!!! Kweli!!!! Jamani kweli!!!
Over my dead body will never happen!!!!!!
Huyu anainajisi ikulu, hatufai!!!!! Bora tufanye uchaguzi tena , 2020 ni mbali sana kwa vituko vya namna hii!!!
 
Mkuu acha roho mbaya. Me nadhani umefurahi sana kusikia hivyo sijui unapata faida gani. We sijui mtu wa asia.

Bila shaka wewe utakua muhindi au mwarabu uliezamia tanzania.
Hakuna asiyeitakia mema nchi yake. Lakini Huyu kiongozi wetu amesema hadharani yeye hapangiwi na hashauriki kwa kuwa tumempa cheo. Na Hakuna nchi itakayoendelea duniani kwa kuongozwa na kichwa kimoja. Huyu bwana mkuu pindi mtu akikataliana nae kwa hoja yeye humtumbua. Na kuhusu Ethiopia asitufanye Sisi mazuzu . Ikiwa walikuwa hawana cha kuongea ni bora wangenyamaza. Kuliko kusema Ethiopia itatumia bandari yetu Huo ni UJINGA wa mwisho. Ndugu nchi haiongozwi na mtu mmoja na jinsi jamaa anavyojifanya anajua kila kitu naamini kuna watanzania wanajua vitu ambavyo vingesaidia nchi ipate mapato zaidi lakini kutokana n ujuaji mwingi wa Huyu jamaa wameamua wakae kimya.
 
Juzi tu Ethiopia wamezindua usafiri wa treni ya umeme kutoka Ethiopia mpaka bandari ya Djibouti,bandari hii iko baharini jirani na ethiopia kuliko ya Dsm.

Tumesikia JPM akisema eti Ethiopia watakuwa wanatumia bandari ya DSM kuleta mizigo kisha wanaisafirisha mpaka Ethiopia

Kwanza umbali ni mkubwa,mzigo ufike Tanzania kisha urudi nyuma kwenda kenya,somalia,kisha Ethiopia.

Pili,hawa jamaa wamezindua reli mpya ya kisasa ya umeme hata mwaka haijamaliza,mabehewa ya abiria ni mazuri kuliko bombadier (kwa ndani)


Hivi nani alishauri hili liwe sehemu ya mazungumzo?

Nadhani waziri Mkuu wa Ethiopia kaondoka na question mark kuhusu tanzania

 
Mtaalam wakuu wa Nchi hawakurupi wanapofanya mazungumzo na makubaliano katika ziara zao kama unavyowaza wewe (Kila kitu kinakuwa kimepangwa) sisi tulio huku Ethiopia tunamwelewa waziri mkuu wa Ethiopia na JPM - Kuhusiana na suala la matumizi ya bandari ya Tanzania, Jitihada zilizofanyika za kuboresha uendeshaji wa bandari ya Dar zimekubalika mpaka nchi za mbali ikiwemo Ethiopia, kwa kawaida huwa inachukua zaidi ya miezi 4 mpaka 6 kwa imported goods kufika Ethiopia tokea Bandari ya Djibout sababu mpaka sasa hivi hazieleweki na hata shehena za misaada ya kibinadmu zinalipishwa kodi.
Kuna mwingine alikuwa anaongea tu kwamba kwanini tunataka kuimport umeme tokea Ethiopia - Kwa taharifa yake tu ni kwamba umeme wa Ethiopia ni very cheap na utauzwa mpaka Malawi, Zambia achilia ukanda wa East afrika na West Africa, Ni karibu nchi zaidi ya 12 zitafaidika na umeme wa Ethiopia na utakwenda mpaka Spain. Pitieni kwanza taharifa za kimataifa kabla ya kuanza kulaumu. Dunia inakuwa Kijiji jinsi tunavyoenda mbele watu wanaangali efficienciness na cheapness but quality products and services.... Wewe unaangalia umbali tu??
Kuna Bilatellar agreement ambapo nchi mbili zinapokubaliana katika mambo ya kiuchumi kunakuwa na kufaidika kwa pande zote na sio upande mmoja tu..
Umeongea point mkuu, tatizo uandishi wako
 
Uvumilivu ni jambo la msingi, kwa sasa mkulu anaelekea mwaka wa pili lkn watu wanavyolaumu ni shida

Tutakuwa watu wa kulaumu hadi lini

Let us change a little
Tuvumilie mpaka lini? Miaka 55 sasa tangu uhuru.Ccm imefanya nini ili watanzani wajivune!!!! Vumilja peke yako.Sisi tunao jitambua hatuwezi kumvumilia huyo mwizi wa kura. Hatuwezivumilia pasipokuwa na tumaini.
 
Google utaona Ethiopia ndio wamezindua treni ya kisasa nadhani mwaka jana mwishoni au mwaka huu mwanzoni,ni treni inakimbia kwa kasi sana,itakuwa inabeba mizigo na makontena kutoka bandari ya Djibouti,

Kuna mfanyabiashara aliye na akili ashushe mzigo DSM kisha aanze safari ya kurudi kenya-somalia-ethiopia au apandishe kontena kwenye ndege mpaka Ethiopia baada ya kulitoa bandarini?
Huyo atakuwa mfanya biashara limbukeni kama wa lumumba.
 
Watu wengine wa ajabu kabisa na wengine naamini sio wa Tz.wao hupenda kuckia mambo mabaya tu kuhusu nchi yao laana mbaya kabisa
 
Back
Top Bottom