Ethiopia ukiwa na jero unapata umeme units 28

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,887
Unajua Ethiopia ukiwa na jero yaani shilingi 500 unapata umeme units 28

Umeme kule wananunua umeme unit moja shilingi 18 ya kitanzania

Wenzetu kwa umeme wamejitahidi sana Tanzania sijui katulaani nani

Ethiopia ndo nchi ya tano duniani kuwa na umeme wa cheap wala sio kigezo cha dola wala nini

Hapo ni list ya nchi zenye umeme wa bei nafuu dunian katika mfumo wa Units

Ujerumani ndo nchi ghali zaidi duniani katika umeme kwani units moja huuzwa dola 0.365 huku Sudan,Venezuela, Libya,Iran na Ethiopia wakiongoza kwa umeme wa bei nafuu na bure kabisa

Electricity prices for households, December 2020
(kWh, U.S. Dollar)

Sudan

Venezuela

Libya

Iran

Ethiopia

Cuba

Kyrgyzstan

Lebanon

Suriname

Bhutan

Angola

Iraq

Oman

Kuwait

Qatar

Zambia

Zimbabwe

Burma

Algeria

Kazakhstan

Azerbaijan

Afghanistan

Egypt

Ukraine

Bahrain

Saudi Arabia

Trinidad & Tobago

Laos

Pakistan

Malaysia

Paraguay

Georgia

Nigeria

Argentina

DR Congo

Ghana

Russia

Bangladesh

Nepal

Sri Lanka

Tunisia

Belarus

India

Armenia

Mexico

United Arab Emirates

Turkey

Vietnam

China

Dominican Republic

Cameroon

Northern Macedonia

Serbia

Norway

Ecuador

Tanzania

Indonesia

Jordan

Taiwan

Lesotho

Bosnia & Herz.

Moldova

Botswana

Albania

South Korea

Canada

Madagascar

Thailand

Swaziland

Malawi

Hungary

Namibia

Ivory Coast

Morocco

Brazil

Iceland

Bulgaria

Hong Kong

Mozambique

Costa Rica

Mauritius

Colombia

South Africa

Macao

USA

Cambodia

Sierra Leone

Malta

Lithuania

Croatia

Estonia

Panama

Sweden

Singapore

Philippines

Israel

Romania

Chile

Honduras

Finland

Senegal

Peru

Aruba

Netherlands

Uganda

Latvia

Poland

El Salvador

New Zealand

Uruguay

Slovakia

Togo

Slovenia

Kenya

Nicaragua

France

Greece

Gabon

Burkina Faso

Switzerland

Australia

Belize

Spain

Mali

Austria

Cyprus

Czech Republic

Barbados

Luxembourg

Guatemala

Rwanda

United Kingdom

Cape Verde

Japan

Italy

Bahamas

Liechtenstein

Cayman Islands

Portugal

Ireland

Jamaica

Belgium

Denmark

Bermuda

Germany

0.000

0.000

0.004

0.005

0.008

0.008

0.010

0.015

0.016

0.017

0.019

0.024

0.026

0.030

0.032

0.034

0.035

0.037

0.040

0.041

0.041

0.044

0.045

0.048

0.048

0.048

0.052

0.054

0.055

0.058

0.058

0.059

0.059

0.060

0.061

0.061

0.062

0.066

0.070

0.074

0.075

0.076

0.077

0.081

0.081

0.081

0.082

0.082

0.084

0.090

0.090

0.091

0.094

0.095

0.096

0.099

0.100

0.100

0.101

0.104

0.105

0.107

0.108

0.110

0.111

0.111

0.115

0.116

0.117

0.117

0.126

0.130

0.130

0.131

0.134

0.136

0.138

0.140

0.141

0.141

0.142

0.143

0.145

0.145

0.148

0.150

0.156

0.158

0.158

0.161

0.161

0.161

0.164

0.169

0.170

0.175

0.175

0.182

0.182

0.185

0.185

0.185

0.185

0.187

0.191

0.191

0.192

0.203

0.203

0.204

0.205

0.208

0.211

0.213

0.213

0.214

0.218

0.221

0.221

0.227

0.227

0.228

0.231

0.235

0.238

0.239

0.244

0.246

0.247

0.252

0.255

0.259

0.260

0.260

0.261

0.262

0.266

0.266

0.271

0.293

0.297

0.312

0.336

0.360

0.365
 
Hela yao sawa na USA dollars ngapi Ili tupate balance equivalent, kwenye current converter

Kwa mfano Tsh 500 yetu,ni tofauti na Ksh 500 ya kenya

Dola moja ya marekani ni sawa na 45.85 birr ya Ethiopia wakati sisi 1 dollar ni zaidi ya 2200/-

Kwahiyo Bado 500 kule kwao Ina thamani kubwa,usidhani wanaishia kununua vitumbua tu
 
Yaaani kwa hizi tozo wanazoongeza kina mwigulu.....tusitegemee neema ya umeme kwa stigler gorges.....ndo wataweka Kodi Mia ...hpohpo hata kama tuwe na umeme mwingi kias gani ...saiz tu mara rea...ewura...mara majengo.....daaa Sina ham na stgiler ikikamilika nahis italeta hasira tu!! Mama Samia naye anasain tu ilihali anaumiza wananchi
 
Hio 500 Ethiopian Birr ukiibadili kuja kwa Tshs unapata 25,267 sasa huku bongo nikinunua umeme wa 20,000 ninapata units 56 sasa sijajua huyu mleta mada amekariri wapi au haelewi wapi...

Screenshot_20210913-221511_Samsung Internet.jpg
 
Yaaani kwa hizi tozo wanazoongeza kina mwigulu.....tusitegemee neema ya umeme kwa stigler gorges.....ndo wataweka Kodi Mia ...hpohpo hata kama tuwe na umeme mwingi kias gani ...saiz tu mara rea...ewura...mara majengo.....daaa Sina ham na stgiler ikikamilika nahis italeta hasira tu!! Mama Samia naye anasain tu ilihali anaumiza wananchi
Kabisa mkuu
 
Unajua Ethiopia ukiwa na jero yaani shilingi 500 unapata umeme units 28

Umeme kule wananunua umeme unit moja shilingi 18 ya kitanzania

Wenzetu kwa umeme wamejitahidi sana Tanzania sijui katulaani nani
Shda sio 500, shda ni thamani ya hyo jero. Wakat bongo tunaona jero ni hela ya fegi, unaweza kuta huko ethopia jero inanunua lunch ya familia kabisa. Na pia kuipata hyo jero unaweza kuta ni mbinde knoma.
IMO.
 
Unajua Ethiopia ukiwa na jero yaani shilingi 500 unapata umeme units 28

Umeme kule wananunua umeme unit moja shilingi 18 ya kitanzania

Wenzetu kwa umeme wamejitahidi sana Tanzania sijui katulaani nani
lakini kuna jambo hujalisema hapo, pengine kwa kutojua ama kwa makusudi. Hiyo 500 kuipata huko kwao si jambo dogo. Ndiyo maana unaweza jiuliza, hawa jamaa mbona kila kukicha wanakimbia nchi yao? Ukweli ni kwamba, ukiacha sera za kibabe, life ni tough sana kwa Wahabesh.

note: Hoja yangu haimaanishi kuhalalisha udhaifu wa nchi yetu katika kuwapatia raia wake nishati kwa utoshelevu na bei isiyotia kichefuchefu
 
Back
Top Bottom