Ethiopia: Serikali yafuta usajili wa Chama Tawala cha Tigray, TPLF

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Serikali imetangaza kufuta usajili wa Chama tawala katika Jimbo la Tigray, TPLF. Hatua hiyo inathibitisha kuwa Chama hicho hakitashiriki katika Uchaguzi ujao.

Bodi ya Uchaguzi imesema imefanya hivyo kufuatia uamuzi wa Chama hicho kukiuka zuio la Uchaguzi na kujihusisha na mapigano dhidi ya Vikosi vya Serikali. Pia, imeishutumu TPLF kujihusisha na ghasia.

Ethiopia inatarajia kufanya Uchaguzi Juni 05 mwaka huu baada ya zoezi hilo kuahirishwa Agosti 2020 kutokana na mlipuko wa COVID19. Kwa mujibu wa Bodi, Vyama 52 vinatarajiwa kushiriki.

======

Ethiopia’s electoral board said it canceled the license of the Tigray People’s Liberation Front for participating in rebellion, a move that confirms the region’s former ruling party will not participate in upcoming federal elections.

The federal government and the dissident group in Ethiopia’s north have been in conflict since Nov. 4, following an attack on a military base in Tigray. Ethiopian Prime Minister Abiy Ahmed blamed the attack on the TPLF, a group that dominated Ethiopian politics before he came to power in 2018.

The National Electoral Board of Ethiopia also requested a list of TPLF assets from the Attorney General’s Office, according to a statement posted online. The assets will be used for voter and civic education after party debts are paid off in accordance with electoral law.

Ethiopia will hold general elections on June 5, after delaying a planned vote last August because of the Covid-19 pandemic. Fifty-two parties are expected to participate in the elections, the board said.
 
Uamuzi mzuri, ukicheka na mbwa utaingia nae msikitini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom