Ethiopia: Mwanariadha Haille Gabriselassie kaungana na Jeshi kuwapiga Waasi

Alice Gisa

Senior Member
Sep 6, 2014
146
500
Baada ya PM Abiy Ahmed kutangaza kwenda msitari wa mbele wa mapigano vitani. Kumekuwepo na wimbi kubwa la watu maarufu kutangaza kwenda vitani pia.

Vita ni propaganda hapa tayari Watgray wajiangalie naona upepo utawaelekea vibaya.

---

Ethiopian Olympic legend Haile Gebrselassie has announced plans to go to the battle front, just a day after Prime Minister Abiy Ahmed announced he was joining the fight against rebel forces from the northern region of Tigray.

Also joining the war front is distance runner Feyisa Lilesa, who became famous for his protest at the 2016 Rio Olympics for crossing his wrists over his head - a sign showing anger against how the government was treating the Oromo people.

Several high-profile Ethiopians have made similar announcements as fighting intensifies and rebels saying they are advancing towards the capital Addis Ababa.

This comes as photographs emerged online of Mr Abiy heading out to war dressed in military fatigues in a convoy surrounded by special forces.

Itโ€™s not clear if the PM has already joined the fighting as the BBC can't independently verify the photographs.

Mediations being led by African Unionโ€™s envoy, Olusegun Obasanjo, have yielded little progress.

On Tuesday, US envoy to the region, Jeffrey Feltman, warned that tentative diplomatic progress towards ending the conflict was being jeopardised by alarming developments on the ground.

The year-long conflict has led to a humanitarian crisis, with thousands of people killed, millions displaced and hundreds of thousands facing famine-like conditions.

Several countries including the US, France and Turkey have asked their nationals to leave the country immediately.

Source: Ethiopia - BBC News
 
Alice Gisa

Senior Member
Sep 6, 2014
146
500
Kamanda. Abiy Ahmed

IMG_20211124_082818.jpg
IMG_20211124_082807.jpg

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
12,266
2,000

chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,067
2,000
ajabu yake, utakuta hao adui zake yaani waasi, hawatoki kabila lake, hivyo hajaenda kwasababu ya haki bali kwasababu ya ukabila. tushukuru Mungu Tanzania tuna mshikamano sana hata kama kuna watu wanatamani kutusambaratisha.
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,067
2,000
Amekosea sana kuchagua upande.
kama hela ameshatengeneza, na ameshazeeka anajua hawezi kukimbia olympic tena, amepiga mahesabu akajua hapa tigray hawana nguvu watashindwa tu, na wakishindwa serikali itaona alienda nao vitani itampa ulaji wa cheo. halafu kama ilivyo Tanzania tu, hao wana michezo wengine wanakuwaga wametoka JKT ya kikwao, ni wajajeshi hivyo wala si kitu cha ajabu.
 
Mfano serikali ya Abiy ikashindwa, huoni hatma yake itakuwa mbaya sana?
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,067
2,000
Mfano serikali ya Abiy ikashindwa, huoni hatma yake itakuwa mbaya sana?
Serikali ya Abiya haiwezi kushindwa, hataathirika kwasababu hata tuseme mfano serikali imeshindwa, kushindwa kwake ni kwamba Tigray itajitenga na kuwa taifa huru na Gabriselasie atabaki kwa abiya mpya iliyopoteza jimbo moja tu, serikali ishinde au ishindwe nafasi yake ipo palepale.
 
kitali

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,598

ndivyo unavyojidanganya sio.
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,067
2,000
ndivyo unavyojidanganya sio.
sasa unafikiri waasi wa Tigray wanahitaji nini? shida yao sio kutawala Ethiopia yote, wanataka tu kujitenga jimbo/mkoa wao uwe nchi kama elitrea ambayo lilikuwa jimbo/mkoa ndani ya ethiopia ilivyojitenga na ikawa nchi, lakni mikoa mingine bado ikabaki ethiopia hadi leo. unaijua ethiopia vizuri lakini?
 
Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
12,266
2,000
sasa unafikiri waasi wa Tigray wanahitaji nini? shida yao sio kutawala Ethiopia yote, wanataka tu kujitenga jimbo/mkoa wao uwe nchi kama elitrea ambayo lilikuwa jimbo/mkoa ndani ya ethiopia ilivyojitenga na ikawa nchi, lakni mikoa mingine bado ikabaki ethiopia hadi leo. unaijua ethiopia vizuri lakini?
Kama wangekuwa wanataka kujitenga wasingesonga mbele kuelekea mjini mkuu wa Addis Ababa huenda wangeishia kwenye mipaka ya Jimbo lao tu.

Pia wasingeungana na makundi mengine 8 kutoka makabila mengine na maeneo mengine.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom