Ethiopia: Mapigano yanayoendelea Tigray yapelekea wakazi takriban 6,000 kimbilia Sudan

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Maafisa wa Sudan wanasema Raia wasiopungua 6,000 kutoka Ethiopia wamewasili nchini humo wakikimbia mapigano yanayoendelea katika Jimbo la Tigray.

Mamlaka za Sudan zimejiandaa kupokea wakimbizi 200,000 katika siku zijazo huku makundi ya kutoa misaada yakionya kutokea janga la kibinadamu.

Waziri mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ameanzisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya viongozi wa Tigray ambao wamepinga mamlaka ya Serikali Kuu.

====

Officials in Sudan say at least 6,000 Ethiopians have arrived in the country, fleeing the fighting in Tigray province across the border.

The Sudanese authorities are preparing for a further 200,000 people to cross in the coming days.

A refugee camp to handle the influx of people is being set up, with aid groups warning of a looming humanitarian crisis.

Ethiopia's prime minister has mounted a military offensive in Tigray against local leaders who have challenged the central government's authority.

Hundreds have been killed in the clashes.
 
Mshindi wa tuzo ya amani ameamua kuanzisha Vita.

Tuzo kama hizi kuwapa viongozi wakati bado wapo madarakani sio sahihi.
 
Back
Top Bottom