Ethiopia hawataki ujinga, wamezindua umeme wa 1,870 MW kwa mpigo

ethipoia wanapiga kazi hawana kabisa maneno mengi sio sisi huku wazeen wa panga pangua
 
Unajua Hawa wabongo wakiskia watu wanaendelea lazima watatafuta ubishi... Utaskia hata tz wataanza yao next yr
Well said.labda JUma Pembe Magogo asiwe kiongozi wa tz,ndio tunaweza kupiga atua za maendeleo!
 
Ebo kama tuna watumiaji umeme wachache wanaoutaka,Unataka tuwe na megawatts nyingi za umeme za nini? WE VIPI?
Nyingine zinauzwa nje ya nchi na kupata fedha za kigeni acha ushamba.
Hao Ethiopia hawamalizi hizo 4700 MW walizotengeneza.
 
Back
Top Bottom