Ethiopia hawataki ujinga, wamezindua umeme wa 1,870 MW kwa mpigo

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
19,484
2,000
Ndio changamoto kama hizi tunazozitaka, yaani hakuna kulialia mara Wakenya hiki mara Wakenya kile. Unapambana tu hadi kinaeleweka, hongera Ethiopia. Nasi tunakuja tu, tena hatupo mbali, geothermal yetu mtaiona tu.Ethiopia on Saturday inaugurated the €1.5 billion ($1.57 billion) Gibe III hydro plant on River Omo.

The plant has 10 turbines each with a capacity of 187MW, and will increase Ethiopia's total electricity output to 4,238 megawatts.

It is located 450km southwest of the capital Addis Ababa and is expected to supply both domestic and export markets.

With a capacity of 1,870MW, Gibe III is the third plant on the Gibe-Omo hydroelectric cascade. The others are Gibe I and Gibe II, which are already operating. The government plans to build Gibe IV and V further downstream.

Construction works of Gibe III began in July 2006 and was financed by China’s ICBC bank through a loan, covering 60 per cent of the cost while the Ethiopian government covered 40 per cent.

Electricity from the plant will be transmitted through a 400 kilovolt line stretching up to the outskirt of Addis Ababa – Kaliti power plant.

The dam was constructed by Italian firm Salini Impregilo and Dong Fang of China.

Last year, Ethiopia commissioned the first phase of electricity generation at the Gibe III plant from three turbines with an output of 561MW.

Ethiopia’s 1,870MW Gibe III plant begins operations
 
tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
12,254

Mbona wakenya mnamilio sana mkiona watu wanafanya yao...iyo geothermal simpaka sasa!!
 
Sammuel999

JF-Expert Member
Jun 1, 2016
3,496
2,000
Mbona wakenya mnamilio sana mkiona watu wanafanya yao...iyo geothermal simpaka sasa!!
Kenya imeongeza Geothermal mpaka 700mw sai tuko 2917mw

Next year Wind power Turkana inamalizwa 378mw = 3400mw

Tayari Coal ya Lamu imeanzwa hyo ni 1000

Ngojeni hapo tu
 
tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
12,254
2,000
Kenya imeongeza Geothermal mpaka 700mw sai tuko 2917mw

Next year Wind power Turkana inamalizwa 378mw = 3400mw

Tayari Coal ya Lamu imeanzwa hyo ni 1000

Ngojeni hapo tu
Render ata Somali zipo....
Wacha kupiga mayowe. ...
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
19,484
2,000
Mbona wakenya mnamilio sana mkiona watu wanafanya yao...iyo geothermal simpaka sasa!!
Jirani akifanya kweli tunampongeza, sio kama nyie mnalilia ovyo, juzi mnamzingua Dangote halafu mnalaumu Kenya wakati mnajitafuna wenyewe.
Napenda sana ushindani kama wa Ethiopia.
 
mulanKE

JF-Expert Member
Sep 27, 2016
400
500
Unajua Hawa wabongo wakiskia watu wanaendelea lazima watatafuta ubishi... Utaskia hata tz wataanza yao next yr
 
Juakali1980

JF-Expert Member
Mar 21, 2015
800
500
Ndio changamoto kama hizi tunazozitaka, yaani hakuna kulialia mara Wakenya hiki mara Wakenya kile. Unapambana tu hadi kinaeleweka, hongera Ethiopia. Nasi tunakuja tu, tena hatupo mbali, geothermal yetu mtaiona tu.Ethiopia on Saturday inaugurated the €1.5 billion ($1.57 billion) Gibe III hydro plant on River Omo.

The plant has 10 turbines each with a capacity of 187MW, and will increase Ethiopia's total electricity output to 4,238 megawatts.

It is located 450km southwest of the capital Addis Ababa and is expected to supply both domestic and export markets.

With a capacity of 1,870MW, Gibe III is the third plant on the Gibe-Omo hydroelectric cascade. The others are Gibe I and Gibe II, which are already operating. The government plans to build Gibe IV and V further downstream.

Construction works of Gibe III began in July 2006 and was financed by China’s ICBC bank through a loan, covering 60 per cent of the cost while the Ethiopian government covered 40 per cent.

Electricity from the plant will be transmitted through a 400 kilovolt line stretching up to the outskirt of Addis Ababa – Kaliti power plant.

The dam was constructed by Italian firm Salini Impregilo and Dong Fang of China.

Last year, Ethiopia commissioned the first phase of electricity generation at the Gibe III plant from three turbines with an output of 561MW.

Ethiopia’s 1,870MW Gibe III plant begins operations
We can all kiss goodbye to Lake Turkana...
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,645
2,000
Ngojeni tumalize kulipa "capacity charges" mtatukoma teh teh teh (nacheka huku machizi yananitoka kwa uchungu)
Kenya imeongeza Geothermal mpaka 700mw sai tuko 2917mw

Next year Wind power Turkana inamalizwa 378mw = 3400mw

Tayari Coal ya Lamu imeanzwa hyo ni 1000

Ngojeni hapo tu
 
MKEHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
619
1,000
Ukiiga kunya kwa tembo utapasuka makalio. Tuacheni na umeme wetu wa vibaba. Kijiji kwangu kule kigoma hiyo mnayoita sijui grid ni msamiati
 
SACO

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
1,145
2,000
Ethiopia uchumi wa nchi unaimarika kwa kasi huku hali za wananchi zikizidi kuwa duni tena kwa kasi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom