Ndege ya Ethiopian Airline iliyokuwa imetua kwa dharura katika uwanja mdogo wa Arusha ikiwa na abiria zaidi ya 200 juzi, imefanikiwa kuruka salama kutoka uwanjani hapo na sasa imewasili katika uwanja wa ndege wa KIA salama. Source:RADIO1 STEREO
Ni kweli kabisa kaka ngoja tusubiri maelezo kwamba iliwezaje kuruka wakati lnasemekana run way ya arusha ni fupi kuiwezesha ndege ile kuruka!
Ndege ya Ethiopian Airline iliyokuwa imetua kwa dharura katika uwanja mdogo wa Arusha ikiwa na abiria zaidi ya 200 juzi, imefanikiwa kuruka salama kutoka uwanjani hapo na sasa imewasili katika uwanja wa ndege wa KIA salama. Source:RADIO1 STEREO
Walisema itamwaga mafuta na kupunguza mizigo labda ndio maana imefanikiwa kuruka
Ile airTanzania pale Mwanza itaruka lini?
Ile ya Air Tz sio mbovu ndo mana imekaa tu na kama ujuavyo Tz kukarabati kutu ni ishu na pia shirika lenyewe bado linayumba. Inawezekana pale ndo imefika
Serikali wanasubiri ioze ikatwe scraper, biashara ya vyuma chakavu nchi hii ndiyo dili
Sasa mbona wataalamu humu JF walituambia mpaka wafungue baadhi ya viti humo ndani ya ndege kupunguza mzigo then ndiyo iruke tena ikiwa na marubani tu? Au yote hayo yamefanyika tayari?