Et wazoefu ni ipi photo Editor ya hadi kumuwekea m2 kichwa cha Nyaaaauu....??

wise dide

Member
Nov 21, 2011
26
1
plz nataka kujua photo editor inayoweza ku'edit picha kwa kiasi kikubwa cha effects kama za kubadili viunga vya bin adamu n.k
 
Kama unataka kubadili kichwa tu, program aliyoitaja sakasaka nii sahihi na straight foward huitaji ujuzi wa hali ya juu kui operate. Lakini kama unataka kufanya "high-level image editing", tafuta Adobe Photoshop CS 6. Ubaya wake, ni kwamba sio watu wengi wana uwezo wa kuimaster kiurahisi, the software is big and has a lot of things, it might take some time to learn.


:A S-coffee:
 
Last edited by a moderator:
zk nyingi mjomba ila problem ni jinsi ya kui2mia km alivyosema Ishengoma.
Look for PHOTO IMPACT iko pouwar nayo.
 
Back
Top Bottom