Lily Flower JF-Expert Member Oct 16, 2009 2,553 1,197 Nov 27, 2012 #2 Hapo sio kwa wapopo kweli? I stand to be corrected.
C Capt Tamar JF-Expert Member Dec 15, 2011 11,727 14,610 Nov 27, 2012 #3 Nchi masikini kabisa yenye matajiri wa kutisha,hii ndiyo bongoland mzee.
Himawari JF-Expert Member Aug 21, 2008 2,609 1,698 Nov 27, 2012 #4 Mbona bango kwenye mlingoti hapo pembeni kama lina maandishi ya kichina vile!!!
kinyoba JF-Expert Member Jun 2, 2011 1,267 718 Nov 28, 2012 #5 Himawari said: Mbona bango kwenye mlingoti hapo pembeni kama lina maandishi ya kichina vile!!! Click to expand... Umeona eeh? Kweli wewe ni mtafiti.
Himawari said: Mbona bango kwenye mlingoti hapo pembeni kama lina maandishi ya kichina vile!!! Click to expand... Umeona eeh? Kweli wewe ni mtafiti.
Riwa Platinum Member Oct 11, 2007 2,607 3,066 Nov 28, 2012 #6 Bongo kuna Lamborghini ya njano tu (DELINA)....hizo nyingine sijapata ziona! Si Bongo hii..
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Apr 25, 2012 9,397 8,852 Nov 28, 2012 #7 Nilifungua tu kuangalia picha wakuu,
Kirode JF-Expert Member Mar 25, 2011 3,566 82 Nov 28, 2012 #9 Wala tangazo la tigo Amavubi said: Mbona sioni takataka? Click to expand...
charger JF-Expert Member Nov 21, 2010 2,320 1,369 Nov 28, 2012 #10 Bongo lambo hizo zote zitoke wapi?
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Jul 3, 2007 5,520 2,091 Nov 28, 2012 #11 Hapa ni Bongo maeneo ya Kiwalani kwa mbaali mpenda Bia mimi naona tangazo la Safari Lager...