Eswatini: Jeshi na Polisi wapelekwa shuleni kuzuia maandamano

steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
7,650
2,000
Uliona au kusikia sehemu Nyerere alimtanguliza mbele mtoto wake Anna au Makongoro wakati wa kudai Uhuru?Mandela na Kenyatta je?Kama "weye" hautaki,utulie!
Nyerere na Mandela ndio usiwataje kabisaaa,kama hujui historia bora utoe upupu wako hapa,hujui kwamba Mandela alifungwa kwa sababu zipi??
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
24,599
2,000
Yaani Eswatin hadI wanafunzi wa primary wanaandamana kudai haki zao.
Hapa Tanzania utasikia majinga yanasema Mbowe,Lissu na Lema watangulize familia zao mbele.

Ujinga hautaisha Tanzania.

kamandaaa

unaongozaje maandamano bila kushusha mguu road!!
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
24,599
2,000
Uliona au kusikia sehemu Nyerere alimtanguliza mbele mtoto wake Anna au Makongoro wakati wa kudai Uhuru?Mandela na Kenyatta je?Kama "weye" hautaki,utulie!

unasemaje wewe!!!

nyerere na mandela wamefirigiswa mara kibao wakiwa mstari wa mbele.nyinyi nyumbu mnahamasishwa kupitia twitter.
 
Tua Ngoma

JF-Expert Member
Apr 14, 2015
2,670
2,000
Chadema ni chadema wananchi ni wananchi,Mwigulu ndio nani kwanza kwangu mimi,usikariri kuwa kila mtu ni mwanasiasa kama wewe,wengine tunaangalia uhalisia,hatukurupuki kisa eti umeona huko eswatini wamefanya,unaangalia wamefanyaje fanyaje,ila nyumbu kama nyie mnataka sote tukurupuke,tangulizeni familia zenu wehu nyie acheni kucheza na maisha yetu.
Utakuwa unakula kwa shemeji yako wewe.
una akili za kipumbavu sana.
 
Jun 6, 2021
47
125
Yaani Eswatin hadI wanafunzi wa primary wanaandamana kudai haki zao.
Hapa Tanzania utasikia majinga yanasema Mbowe,Lissu na Lema watangulize familia zao mbele.

Ujinga hautaisha Tanzania.
Kuna kipindi hapo nyuma tulitoka lakin ajabu wew hukutokea kabisa
 
kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
4,671
2,000
Hakuna anayekuzuia kuandika unachowaza.Kaa uelewe kwamba kama weye hautaki katiba mpya,tuliza kiuno wenzako wadai.
Acha upunguani,Marehemu maalim seif kipindi cha raia kupigwa kule Zanzibar Mwaka 2001yeye aliyeitisha maandamano ya kudai haki aliondoka siku chache kabla ya hayo maandamano!Kudai haki ni haki kabisa isipokuwa itoke ndani ya nafsi za watu sio kwa ushawishi wa mtu muoga na kuwatoa watoto wetu mhanga wa kwake wapo wamekaa nyumbani.You need to lead by example.At the end of the day ikitokea faida watoto wao watakuwa wankula layer ya wali ya kati kati wakati watoto wetu wanakula makoko kwa kuandamana then wakishawaondolea makoko wao wanakula layer nzuri then wakifika mwisho wameshiba wanawaachia watoto wetu ukoko.Hao watoto wanaoandamana its from within them sio kitu cha kupandikizwa!Waache watanzania wanaotaka kuandamana iwe imetoka mioyoni mwao kama hao wanafunzi!
 
Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
16,408

Sasa hapo unakataa nini na unarudi palepale kushauri yaleyale?Ndiyo maana unapenda kutumia neno "punguani"!Kumbe linakupendeza kama dereva wa lori na usukani wake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom