afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,714
habari za majukumu,
tafadhalini mwenye uzoefu na cost za network cable installation na system nzima ikiwemo wall socket etc.
room 5, computer 7 room moja na room zingine computer moja moja.
hapa naomba mnijuze estimated cost tunaweza chargetafadhalini
nawatakia kazi njema na majukumu mema