Esther Wassira

Sango Ochwera

Member
Mar 20, 2013
98
26
Nimeingia Saloon moja ya kiume hapa mjini Musoma na kukuta mabishano makali ambayo hata hivyo hayakupata muafaka.Mabishano hayo yanamhusu Mbunge wa viti Maalum wa Chadema Mhe Esther Matiko kuhusu kabila lake na uhalali wa yeye kupata Ubunge wa viti maalum kupitia Mkoa wa Mara.
Wapo waliosema na kushikilia msimamo wao kuwa Mbunge huyo ni Mkurya kutoka wilayani Tarime huku wengine wakisema kuwa ni Mchaga ambaye kaolewa na Mtu wa Tarime.Tunaomba wanaomjua vizuri Esther Matiko watupe ukweli wa jambo hili.
 
Mambo ya kuuliza kabila la mtu yanaumuhimu gani kwa maendeleo ya taifa?
 
Sasa hiko kichwa cha habari kinahusiana vipi na uloyouliza? Labda nikisaidie kitu kdg ndio uendelee kuuliza hilo unalouliza.esther wassira sio esther matiko.ni watu wawili tofauti
 
Kwani Ester Matiko ndiye Ester Wasira? Kama title yako ipo sawa basi wamepatia.
 
Ina maana wabunge wa viti maalumu wanachaguliwa kutokana na makabila yao?!
 
Nimeingia Saloon moja ya kiume hapa mjini Musoma na kukuta mabishano makali ambayo hata hivyo hayakupata muafaka.Mabishano hayo yanamhusu Mbunge wa viti Maalum wa Chadema Mhe Esther Matiko kuhusu kabila lake na uhalali wa yeye kupata Ubunge wa viti maalum kupitia Mkoa wa Mara.
Wapo waliosema na kushikilia msimamo wao kuwa Mbunge huyo ni Mkurya kutoka wilayani Tarime huku wengine wakisema kuwa ni Mchaga ambaye kaolewa na Mtu wa Tarime.Tunaomba wanaomjua vizuri Esther Matiko watupe ukweli wa jambo hili.

fanya yako mumekalia kuonglea kabla za watu.
 
Umevurugwa mleta madaunaongelea Kamanda na Magamba au??Mbona ni ardhi na mbingu?
 
Hakuna mbunge wa cdm anaitwa easter matiko wala easter wasira!shirikisha ubongo kwenye majungu yako.
 
kwanza hakuna mbunge wa chadema anaeitwa esther wasira ila kuna mbunge wa chadema viti maalum mkoa wa mara anaitwa esther matiko na huyu mbunge kabila lake ni mkurya kwa faida ya muuliza swali pia anatokea ktk koo ya wanchari katika wilaya ya tarime kata ya susuni huyu mbunge sio mchaga wala vinginevyo muuliza swali utakuwa umeelewa kwa sio vibaya sana kujua kabila ya mtu nk bali jambo baya nikubaguana kwa makabila koo nk upooo??????
 
Sasa hiko kichwa cha habari kinahusiana vipi na uloyouliza? Labda nikisaidie kitu kdg ndio uendelee kuuliza hilo unalouliza.esther wassira sio esther matiko.ni watu wawili tofauti

Amekurupuka jamani msameheni bureeeeeeeeee.
Hivi bado serikali ina msimamo wake wa kuongeza daraja la tano katika viwango vya ufaulu?
Nimedadisi tu wala sijaperuzi bado.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom