Umempa sifa kubwa sana huyu binti, Urais?? Stahili yake ni Ubunge tu, unamtosha...
Hata redio husikilizi?
Umempa sifa kubwa sana huyu binti, Urais?? Stahili yake ni Ubunge tu, unamtosha...
CCM/ serikali ya CCM ni tatizo kwa Watanzania hivyo kama kapiga kelele juu ya CCM namuunga mkono.. Ukiona mwizi piga kelele mpaka majirani wasikie. Sasa kwenye hilo sijui ndiyo kongamano naamini CCM walikuwepo...Hata ubunge haumfai, anapiga kelele tu na hajadili hoja na tumeendelea kulalamika tu kama mzee butiku alivyotoa speech yake. Inasikitisha sana kuona bado watu wanashangilia upuuzi tu. Makelele na chuki dhidi ya serikali au ccm sio kigezo cha kuwa kiongozi /Mbunge. Shame on you brother.
Watanzania tunapenda kukurupuka sana.
Ana Jazba sana,ingawa nafikiri ni mpambanaji!