Esther Wassira for Presidency 2015...

Moony

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,597
433
Go for it Lady! We are behind you! Tunakutaka ugombee urais utusafishie nchi yetu dada. Wassira FOR CHANGE! Hurrray!
 
Ungeweka habari ya kueleweka badala ya kukimbilia ushabiki zaidi... sijui unataka tu-comment nini wengine au unadhani wote tunaangalia ITV? Tuwekee nini kafanya/ kasema mpaka unataka angombee urais. Je, urais ni mrahisi kiivyo?
 
Ndugu yangu I support what you are saying, if you want to learn more what she said please try to go through her speech that she was expecting to say Kama angepewa dk 30 as one of the main speakers humu humu JF
 
Kwa kigezo gani unampigia debe? Umri kama wanavyohubiri wabaguzi JM Jr. na ZZK bila aibu? Au sura? Au kwa kigezo gani? Viongozi wazuri hawajipigii wala hawapigiwi debe.

Kama anafaa wananchi/wanachama watamwomba wenyewe agombee kwa majira yake na sio kwa propaganda.

Kweli Esther ni kifaa ila la msingi achape kazi watu waone matunda yake kisha waamue wenyewe regardless of any other factor - age, gender, n.k.
 
Umempa sifa kubwa sana huyu binti, Urais?? Stahili yake ni Ubunge tu, unamtosha...

Hata ubunge haumfai, anapiga kelele tu na hajadili hoja na tumeendelea kulalamika tu kama mzee butiku alivyotoa speech yake. Inasikitisha sana kuona bado watu wanashangilia upuuzi tu. Makelele na chuki dhidi ya serikali au ccm sio kigezo cha kuwa kiongozi /Mbunge. Shame on you brother.
 
Hata ubunge haumfai, anapiga kelele tu na hajadili hoja na tumeendelea kulalamika tu kama mzee butiku alivyotoa speech yake. Inasikitisha sana kuona bado watu wanashangilia upuuzi tu. Makelele na chuki dhidi ya serikali au ccm sio kigezo cha kuwa kiongozi /Mbunge. Shame on you brother.
CCM/ serikali ya CCM ni tatizo kwa Watanzania hivyo kama kapiga kelele juu ya CCM namuunga mkono.. Ukiona mwizi piga kelele mpaka majirani wasikie. Sasa kwenye hilo sijui ndiyo kongamano naamini CCM walikuwepo...
 
Kabla ya kuingia katika political merit, atakuwa kafikisha umri unaotakiwa?
 
Esther atasaidia sana taifa hili kama atamng'oa baba yake kwenye ubunge wa jimbo la Bunda.
 
Ana Jazba sana,ingawa nafikiri ni mpambanaji!


like daddy like daughter!
anaweza kuwa trained tu, she is a RAW gem she needs polishing to add more VALUE. Hii ndiyo sera yetu au siyo?

kila raslimali iongezwe thamani kabla ya kuuzwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom