kimaus
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 565
- 629
Ni ukweli usiopingika kuwa Esther Luxury Coach ni moja ya mabasi bora kwa safari za Dar-Moshi, Rombo, Arusha. Lakini nimesikitishwa na kitendo cha ofisi zenu za Shekilango kutokuwa na choo kwa abiria!
Hebu fikiria unatoka Moshi asubuhi sana, abiria wanajisaidia Korogwe, then gari haisimami popote mpaka Shekilango. Hapa nazungumzia Mabasi yenu yanayoenda mpaka Gongolamboto na Mbagala, ambapo baadhi ya abiria hapo Shekilango hawashuki.
Na hakuna hata choo cha kulipia angalau abiria wangejisaidia. Tafadhali wekeni choo hata cha kulipia.