Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,884
BULAYA KUJADILIWA: Spika Job Ndugai asema Kamati ya Maadili ya Bunge itaanza kumjadili Mbunge Esther Bulaya akidaiwa kuhamasisha wabunge kutoka nje ya Bunge.
Ulitaka uwakilishwe na wasp na akili?wale wa ndiyo kila kitu etiHawa ndo wabunge wanaotuwakilisha wananchi... Aisee
Hawa ndo wabunge wanaotuwakilisha wananchi... Aisee
Halafu wakisha pitisha sheria za hovyo kwa misingi mihemko wana kuja kusema wanaibiwa... Zana ya kujua kusoma na kuandikaHuyu spika ni wa hovyo sana.nyaani ukiwa ni mwanaccm hata uwe na akili vipi ila ukiwa tu ccm akili inahama unakuwa mtu wa ajabuajabu
Labda kuna kupigiwa kura za ndiyo leo mle ndani... kura za ccm ni ndio na hapana kuchangia kitaalamu au kupokea ushauri hawataki na huo siku zote ni uvivu wa kufikiriHao wabunge mamburula waliobaki ndani ya bunge wanakuwakilisha kwa lipi kwa mfano?