Ester Matiko: Kama Chama kikiona kuna mwingine anafaa zaidi ya Ester Matiko, niko tayari

Kwa sisi tunaojua kuunga dot hili changa limetoka CCM ili kuidhalilisha chadema kupitia spika .NEC na jiwe

Yaan apo ata CHADEMA iwafukuze uanachama kaz bure tu watatetewa na spika katiba imeekwa kapuni nanukuu tu
"Mm ni kichaa ma ndio maana nimechagua vichaa wenzangu "
Mkuu jaribu kufikiria nje ya Box kwenye orodha hiyo ya wabunge yumo mke wa John Mrema na mke wa Mwaalim, Ester Matiko sasa bado unaendelea kusumbua kichwa chako tuuu!!
 
Esther ni mke wa Mwalimu hawezi kufukuzwa!
Ndiyo sababu kubwa ya kuchelewa kupeleka majina ya wabunge viti maalum , kila kiongozi alipeleka hawara Yake wakaanza kugombana, Mbowe akaona hawezi kuwakataa mishahara mahawara wa vigogo wenzake na Hadi leo kasusa yupo kimya Sasa.
 
Hawa ndiyo watakaofanya wanawake wasiaminiwe kuongoza Taasisi nyeti, maana wote hao ni very senior kwenye uongozi nini kimewapata? njaa ya hela? tamaa ya madaraka? au wameamua tu kukikomoa chama chao? kama hivyo ndiyo kukikomoa ili wapate nini? ukizingatia karibu wote hao walinyanyaswa vibaya mno na vyombo vya dola wakati wa kampeni.

Kwanza kabisa kama mnakumbuka walianza wale wabunge wa viti maalum wakasema Mbowe na viongozi wengine wa CDM amekuwa akiwabaka mfululizo kwa miaka 5, sasa unajiuliza mama zima la miaka 40 linabakwaje miaka 5 huku lenyewe likiwa linatunga sheria na lisiseme?

Sasa limekuja na hili tena.. aise.
Bora hawa wamebebwa kibabe kuliko kina waitara.
Wale kina waitara ndio wameondoka kike kike
 
Hata hawa nao wamepelekwa kwa hisani ya serikali. Kuna mahali nimesoma Matiko ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema hivyo anajua taratibu zote za kufuatwa kupata wabunge viti maalum.
 
Mimi hao wengine wote sina muda nao, nalia na Halima tu mimi.
Halima amekivunja chama kabisa, Halima tulimuamini na kumpa jeshi letu la wanawake na nilitegemea pasi na shaka Mbowe akistaafu uwenyekiti basi kama sio Lissu, Heche basi ni yeye!
I’m disappointed

njoo nikuoe tu sasa,maana huu ujinga tu kuwaamini watu kwenye siasa.
 
Ameulizwa alitaarifiwa na Katibu? anatoa jibu la jumla akisema na mamlaka husika, hapa kuna kitu anaficha, probably anamaanisha hizo mamlaka ni Spika wa bunge.

Anazidi kuthibitisha jinsi walivyosukumwa na maamuzi yao binafsi bila kupata baraka za chama anavyoshindwa kujibu swali la "Katibu anasema watachukua hatua kali dhidi yao", anakimbilia kusema "watanzania wategemee makubwa toka kwao"

Huyu ndio kathibitisha kabisa hawa wanawake wanastahili kuitwa wasaliti, na yeye binafsi anaonekana alikuwa hajui lolote, kapigiwa simu tu njoo bungeni uje kuapishwa akaenda straight badala ya kwanza kuwauliza viongozi wake wa chama.
Kwan hawa watu walishikiwa mtutu kwenda kuapa??
mnaacha kudeal na watu wa kwenu huko mmekaa kuilaumu serikali 😅
mpaka mje kushtuka 2025 hii hapa na hakuna kitu mmefanya.
Chadema mnalawama Sana aisee Yani hata Hili bado mnawalaumu ccm???😳😳
 
Kama mbowe aliweza kumzunguka Dkt Silaa kwenye sakata la Kunipokea EL
Na akakiri kuwa Yeye Ndo Alibadili Gia Angani!!
Mbowe mfanyabiashara WA kisiasa Awezi kukubali Chadema kinaenda kuwa TLP
Wakati ashapiga hesabu ya Wabunge 20 mpaka SASA!!
 
Kuwa Mbunge hakuhusiani na unyanyasaji.Mbona Lissu alikubali kuapishwa ubunge mwaka 2015 wakati EL alilalamika kuibiwa kura?
We dada ule udhalilishaji uliofanyiwa na wale mapolice umeukubali kwa kukisaliti chama kwa kulipwa ujira huu? Kweli dunia ina mambo!!
 
Kuwa na kawaida ya kuingiliwa kinyume na maumbile haijawahi kumuwacha mtu salama. Huyu dada pamoja pamoja na wenziwe Halima na Bulaya wamedhihirisha tabia zao wanazofanyiwa vyumbani

Hata Kuwafananisha na madada poa pia ni kuwakosea heshima madada poa.
 
Baada ya jana wabunge wa viti maalum kuapishwa, waandishi wa habari walifanikiwa kufanya mahojiano madogo na mbunge mmojawapo, Ester Matiko huku wengine wakigoma. Yafuatayo ni maswali kutoka kwa waandishi na majibu kutoka kwa Ester Matiko.

MWANDISHI: Mmepata baraka za Chama?

MATIKO: Nadhani wote tunajua taratibu za viti maalum mpaka kuweza kufika wabunge kuteuliwa, kuna utaratibu ambao unaendelea ndani ya chama kupitia wings mbalimbali na baadae chama kinabariki na majina yanaenda kwenye tume ya Taifa ya uchaguzi, binafsi nilitaarifiwa nimeteuliwa ndio maana nimefika hapa kuja kuapa.

MWANDISHI: Ulitaarifiwa na katibu?

MATIKO: Na mamlaka husika

MWANDISHI: Lakini katibu wa chama anasema hana taarifa na hilo na watachukua hatua kali dhidi yenu, hili unalizungumziaje?

MATIKO: Sijui zaidi ya hapo, kwa uchache wetu ambao tumekuja hapa, nipende tu kuwaambia watanzania, wategemee makubwa kwetu pamoja na kwamba tuko 19. Tunajua yote yaliyojiri kwenye uchaguzi mkuu ulioisha hadi tukapata hiki kidogo katika ushindi wetu mkubwa tuliokuwa nao.

MWANDISHI: Endapo chama kikiwafuta uanachama, mmejiandaa kuchukua hatua?

MATIKO: Tupo hapa kwa sababu ya chama kwa hiyo kikiona kuna mwingine anafaa zaidi ya Ester Matiko, niko tayari.

MWANDISHI: Awali msimamo wa chama chenu ilionekana haukubaliani kuweza nyie kushiriki hapa

MATIKO: Nadhani leo jukumu kubwa ni kuapa na tumetimiza hilo, yanayojiri mengine yote yanawezwa kuzungumzwa kwa wakati muafaka. Katika neno letu la shukrani tumesema dhahiri kabisa tunakishkuru chama cha demokrasia na maendeleo kututeua sisi watu 19 kukiwakilisha katika bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuweza kuwasemea watanzania na chama chetu sasa mengine kama yalijiri yakaenda yakarudi, yatazungumzwa kwa wakati muafaka. Asante.

MWANDISHI: Ndio kusema mmesalimu amri

MATIKO: Sio msemaji wa chama, mimi ni mbunge mteule, ASANTENI SANA.


Huyu msomi wa SUA amejibu kisomi sana, sio kama madam polepole.

Anyway Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyewe

Acheni upumbavu bwana.
 
Kuwa na kawaida ya kuingiliwa kinyume na maumbile haijawahi kumuwacha mtu salama. Huyu dada pamoja pamoja na wenziwe Halima na Bulaya wamedhihirisha tabia zao wanazofanyiwa vyumbani

Hata Kuwafananisha na madada poa pia ni kuwakosea heshima madada poa.
Kunywa maji mwamba, unaijua siasa ya bongo?
 
Back
Top Bottom