Ester Bulaya awasili Mwanza kuendelea na kikao cha kamati kuu ya CHADEMA

Oct 7, 2015
86
108
Mh Ester Bulaya mbunge wa bunda mjini amewasili jijini mwanza usiku huu,kuendelea na vikao vya baraza kuu la chadema
akihojiwa na waandishi wa habari mhe amesema "anaishangaa serikali ya ccm na bunge kutumia gharama kubwa na nguvu nyingi kumkamata yeye ilhali hizo pesa zingetumika kuwasidia hao polisi wanaowatumia kwa kuwaboreshea maslahi yao na vituo vya vya kazi pia"
SAM_3749.JPG
 
SOURCE : BREAKING NEWZ : MH ESTER BULAYA AWASILI MWANZA | siasa leo tz
Bulaya ni shujaa .
 
Esther hakika ni mpiganaji ,mwanamke wa shoka sidhani itakua rahisi kupotea angekua laini angepotea wakati wa ubunge
 
Wametaja sababu za kumkamata....??????
Kwa kweli tunayo safari ndefu na sijui kama wote tutafika.......la muhimu ni kumuomba ALLAH.kama dhamana ingetolewa pale MWZ ingekuwa mbaya gani....?????
 
Bulaya endelea kumuiga Mdee uje upotee katika duru za siasa.
CCM badilikeni basi siyo kila kitu lazima kutumia nguvu.Aibu sana hii.Ticketing ya kwenda na kurudi kwa gharama ya nani??
 
Wametaja sababu za kumkamata....??????
Kwa kweli tunayo safari ndefu na sijui kama wote tutafika.......la muhimu ni kumuomba ALLAH.kama dhamana ingetolewa pale MWZ ingekuwa mbaya gani....?????
kwanini hataki kutaja sababu ya yeye kutoroka kuhojiwa na tume ya maadili hadi akamatwe kwa nguvu? huo mkutano unamhusu nini wakati yeye sio mjumbe? hawa chadema michepuko mbowe kazi anayo.
 
Wametaja sababu za kumkamata....??????
Kwa kweli tunayo safari ndefu na sijui kama wote tutafika.......la muhimu ni kumuomba ALLAH.kama dhamana ingetolewa pale MWZ ingekuwa mbaya gani....?????
Haya bulaya mwemyewe mbona hataji sababu za kukuamatwa kwake
 
Back
Top Bottom