haaaaa watu jamani....Halima nani sijui ndo nanihiiii wake
Lahaula lakwata...Unataka kumjua ili uwe mke mwenza na Ester?
.haaaaa watu jamani....
Unataka kumjua ili uwe mke mwenza na Ester?
Mada yako tumeielewa kumbe unatafuta Bwana sio!
UmmyHivi Bulaya, Umi Mwalimu na Mdee wameshaolewa?
Maana naona navutiwa nao kwelikweli.
Hivi Bulaya, Umi Mwalimu na Mdee wameshaolewa?
Maana naona navutiwa nao kwelikweli.
ndio nani huyo? halafu ni vizuri ungeweka na picha
Utaweza kuishi na watu wa fani Yao ? Maana Wanasiasa ni waongo wa Muda wote na hata ikitokea akiwa anaongea peke yake huwa wanajiongopea na kujipa Matumaini hewa!
Duh....kwa hiyo familia/ndoa imebomoka kwaajili ya taifa hili,sio kwa uzalendo huoMume wa Ester Bulaya anaitwa DCP Gustavus Babile Afisa wa ngazi za juu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu ambae pia ni Mkuu wa Kitengo cha Interpol Nchini Ila kwa Muda sasa wametengana na Kila mmoja anaendelea na Jukumu la Ujenzi wa Taifa kwa kadri alivyoruzukiwa na Mola!