Ester Bulaya ameolewa?

jsenyinah

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
249
338
Jamani, hivi Ester Bulaya kaolewa?

Mme wake ni nan, yupo wapi na ana kazi gani?

Na watoto je?

Najaribu kufikiria kwa sauti.
 
Mume wa Ester Bulaya anaitwa DCP Gustavus Babile Afisa wa ngazi za juu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu ambae pia ni Mkuu wa Kitengo cha Interpol Nchini Ila kwa Muda sasa wametengana na Kila mmoja anaendelea na Jukumu la Ujenzi wa Taifa kwa kadri alivyoruzukiwa na Mola!
 
ndio nani huyo? halafu ni vizuri ungeweka na picha
1480154614703.jpg
 
Mleta mada nae atuambie kama kaolewa au kuoa.
Watu wana angalia vitu ambavyo sio radical..
Kaolewa au hajaolewa itakusaidia nini
 
Kama napata haki yangu ya msingi nitavumilia tu mkuu.

Utaweza kuishi na watu wa fani Yao ? Maana Wanasiasa ni waongo wa Muda wote na hata ikitokea akiwa anaongea peke yake huwa wanajiongopea na kujipa Matumaini hewa!
 
Mume wa Ester Bulaya anaitwa DCP Gustavus Babile Afisa wa ngazi za juu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu ambae pia ni Mkuu wa Kitengo cha Interpol Nchini Ila kwa Muda sasa wametengana na Kila mmoja anaendelea na Jukumu la Ujenzi wa Taifa kwa kadri alivyoruzukiwa na Mola!
Duh....kwa hiyo familia/ndoa imebomoka kwaajili ya taifa hili,sio kwa uzalendo huo
 
Back
Top Bottom