Estelina Kilasi DC Wanging'ombe: Mmh tumeumia!

Mngendalyasota

Senior Member
Jan 22, 2011
171
48
WanaJF,
Kwanza nimesikitishwa sana na uteuzi wa Estelina Kilasi (mbunge wa zamani wa Mbalali) kuwa mkuu wa wilaya mpya ya Wanging'ombe yenye makao yake makuu Igwachanya. Huyu mama alibwagwa vibaya sana na Mh Kilufi (mbunge wa sasa) kwenye kura za maoni 2010 kutokana na kushindwa kuwaletea Wana-mbalali maendeleo waliyoyataka. Miongoni mwa mapungufu aliyoyaonyesha akiwa mbunge ni kama ifuatavyo: kwanza wakati wafugaji wakihamishwa kutoka Ihefu kwenda mikoa ya kusini, rushwa ilitawala sana ktk kupembua nani ahame na nani abaki bonde la Usangu tena kinara wa kula rushwa akiwa mkuu wa wilaya wa wkati huo Hawa Ngurumo. Estelina Kilasi hakuwasaidia hata kidogo wale wafugaji kuona haki inatendeka. Pili wakati Gilbert Dololo(marehemu kwa sasa) mkuu wa wilaya wa zamani pia wa Mbalali alipokuwa anawaweka rumande wafanyabiashara ya mpunga wa Mbalali-Rujewa na Igulusi eti tu kwa kutokuelewana viwango vya ushuru wa magunia ya mchele yanayotoka nje ya wilaya, Estelina Kilasi alikaa kimya. Mwisho mama huyu huyu akiwa mbunge alikaa kimya wakati wakulima wa mpunga wa Mbalali na Kapunga walipokuwa wananyanyaswa na wawekezaji kwa kupandishiwa kodi ya kukodi majaruba ya mpunga na kunyimwa maji ya kunyweshea mipunga yao kwenye matoleo.
Huyu ndo leo kateuliwa na JK aende akaijenge Wanging'ombe wilaya mpya kabisa wakati jimbo lake lilimshinda.
Nawasilisha.
 
Hivi unadhani JK anamuda wa kujali yote uliyo andika? Siku hizi ili uonekane mtumishi uliyetukuka wewe kuwa yes man tu kwa kila ccm inalofanya. Ukifanya hivyo hata wewe next time utakuwa mkuu wa mkoa
 
Huyu si ndo kwenye kampeni za 2000 alijulikana kama Bar medy pale Mbarali?.Huyu alikuwa chakula cha Mzee wa"ubinafsishaji" enzi zile.Na promotion hadi kupata Ubunge ilikuwa ni kum-please 2nd lady.Hakuna kitu hapo,Wanging'ombe wasahau maendeleo.
 
Huyu si ndo kwenye kampeni za 2000 alijulikana kama Bar medy pale Mbarali?.Huyu alikuwa chakula cha Mzee wa"ubinafsishaji" enzi zile.Na promotion hadi kupata Ubunge ilikuwa ni kum-please 2nd lady.Hakuna kitu hapo,Wanging'ombe wasahau maendeleo.Vp ule mnada mkubwa wa kila tarehe 27 upo pale kando ya lami?.Kilasi atauhujumu na huo
 
Sio kweli kuwa huyu mama hana uwezo huo ni mtazamo wenu na kilufi, huyu mama alikuwa mtetezi wa wana mbarali hadi siku moja aliongea kwa kulia, sema ilikuwa ni mipango tu ya serikali ilikuwa vigumu kuipinga that why hata kilufi atamaliza muda wake bila kurudisha ardhi.
 
wanajf,
kwanza nimesikitishwa sana na uteuzi wa estelina kilasi (mbunge wa zamani wa mbalali) kuwa mkuu wa wilaya mpya ya wanging'ombe yenye makao yake makuu igwachanya. Huyu mama alibwagwa vibaya sana na mh kilufi (mbunge wa sasa) kwenye kura za maoni 2010 kutokana na kushindwa kuwaletea wana-mbalali maendeleo waliyoyataka. Miongoni mwa mapungufu aliyoyaonyesha akiwa mbunge ni kama ifuatavyo: Kwanza wakati wafugaji wakihamishwa kutoka ihefu kwenda mikoa ya kusini, rushwa ilitawala sana ktk kupembua nani ahame na nani abaki bonde la usangu tena kinara wa kula rushwa akiwa mkuu wa wilaya wa wkati huo hawa ngurumo. Estelina kilasi hakuwasaidia hata kidogo wale wafugaji kuona haki inatendeka. Pili wakati gilbert dololo(marehemu kwa sasa) mkuu wa wilaya wa zamani pia wa mbalali alipokuwa anawaweka rumande wafanyabiashara ya mpunga wa mbalali-rujewa na igulusi eti tu kwa kutokuelewana viwango vya ushuru wa magunia ya mchele yanayotoka nje ya wilaya, estelina kilasi alikaa kimya. Mwisho mama huyu huyu akiwa mbunge alikaa kimya wakati wakulima wa mpunga wa mbalali na kapunga walipokuwa wananyanyaswa na wawekezaji kwa kupandishiwa kodi ya kukodi majaruba ya mpunga na kunyimwa maji ya kunyweshea mipunga yao kwenye matoleo.
Huyu ndo leo kateuliwa na jk aende akaijenge wanging'ombe wilaya mpya kabisa wakati jimbo lake lilimshinda.
Nawasilisha.

pole ndugu yangu mgendalyasota. Hivi wewe ulikuwa unategemea jk afanye nini!!! Hiyo ndo tabia ya sisi m ....kwamba ukikosa ubunge ama ukikataliwa kwenye kura za maoni. Usihofu kabisa maana either ukuu wa mkoa,au wilaya,au ukurugenzi kwenye makampuni ya umma,au mwenyekiti wa bodi ya makampuni ya umma utaupata! Huo ndio utawala bora wa sisi

ndugu yangu vua gamba vaa gwanda!
 
Huyu si ndo kwenye kampeni za 2000 alijulikana kama Bar medy pale Mbarali?.Huyu alikuwa chakula cha Mzee wa"ubinafsishaji" enzi zile.Na promotion hadi kupata Ubunge ilikuwa ni kum-please 2nd lady.Hakuna kitu hapo,Wanging'ombe wasahau maendeleo.

Hvi kuna watu bado wanafikiri kuwa Ma-DC na RC wanaleta maendeleo?? hahahahaaaaa ............... hizo ni post za ulaji tu. Ndiyo maana zinatolewa kwa fadhira kwa wanahabari na watangazaji. Subirini muone ............ zamu ijao ni ya KIBONDE!!!
 
Ndugu nakutahadhalisha leo kateuliwa unamuandika vibaya na akifanya vizuri pia usisite kumsafisha maana ufikiriavyo kuhusu huyu mama sivyo hata kidogo atawaaibisha na mawazo yenu potofu kumhusu yeye
 
Sio kweli kuwa huyu mama hana uwezo huo ni mtazamo wenu na kilufi, huyu mama alikuwa mtetezi wa wana mbarali hadi siku moja aliongea kwa kulia, sema ilikuwa ni mipango tu ya serikali ilikuwa vigumu kuipinga that why hata kilufi atamaliza muda wake bila kurudisha ardhi.
arali wakapa

ha ha ha imebidi nicheke alilia. kwahyo alivyolia ndo mbarali walipata maendeleo
 
Ccm huwa hawana kizuri, always wanatoa watu kwenye recycle bin, sasa utaona watu walivyooza
 
WanaJF,
Kwanza nimesikitishwa sana na uteuzi wa Estelina Kilasi (mbunge wa zamani wa Mbalali) kuwa mkuu wa wilaya mpya ya Wanging'ombe yenye makao yake makuu Igwachanya. Huyu mama alibwagwa vibaya sana na Mh Kilufi (mbunge wa sasa) kwenye kura za maoni 2010 kutokana na kushindwa kuwaletea Wana-mbalali maendeleo waliyoyataka. Miongoni mwa mapungufu aliyoyaonyesha akiwa mbunge ni kama ifuatavyo: kwanza wakati wafugaji wakihamishwa kutoka Ihefu kwenda mikoa ya kusini, rushwa ilitawala sana ktk kupembua nani ahame na nani abaki bonde la Usangu tena kinara wa kula rushwa akiwa mkuu wa wilaya wa wkati huo Hawa Ngurumo. Estelina Kilasi hakuwasaidia hata kidogo wale wafugaji kuona haki inatendeka. Pili wakati Gilbert Dololo(marehemu kwa sasa) mkuu wa wilaya wa zamani pia wa Mbalali alipokuwa anawaweka rumande wafanyabiashara ya mpunga wa Mbalali-Rujewa na Igulusi eti tu kwa kutokuelewana viwango vya ushuru wa magunia ya mchele yanayotoka nje ya wilaya, Estelina Kilasi alikaa kimya. Mwisho mama huyu huyu akiwa mbunge alikaa kimya wakati wakulima wa mpunga wa Mbalali na Kapunga walipokuwa wananyanyaswa na wawekezaji kwa kupandishiwa kodi ya kukodi majaruba ya mpunga na kunyimwa maji ya kunyweshea mipunga yao kwenye matoleo.
Huyu ndo leo kateuliwa na JK aende akaijenge Wanging'ombe wilaya mpya kabisa wakati jimbo lake lilimshinda.
Nawasilisha.

wewe acha roho usaliti, yote uliyoyasema ni dhahiri una kaajenda ka siri? na kama si hivyo ingekuwa ni vema turudi mabarari, kwani kilufi ni mbunge kwa sasa nini kafanya kama mbadala wa kilasi? majimbo mengine wote tunayajua, swala la ihefu ni la kitaifa zaidi na utaratibu uliratibiwa na serikali, wale waliotekeleza vibaya tuliona kilasi alivyohangaika na mwisho wake kuwajibika kwa dc hawa ngurume. na pili kilasi ni msomi mzuri kabisa (Holder wa CPA-T), labda ungenishawishi kuwa nafasi ya ukuu wa wilaya kwake ni ndogo ningekupata, na pengine ningekuwa mimi ningependa angepewa kuwa mkurugenzi wenu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom