Estate land for sell | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Estate land for sell

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Somi, Aug 29, 2009.

 1. S

  Somi JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  we are selling 100 acres of land suitable for hotels and apartments construction.
  situated along the sea front at mapinga area 25 kms from daressalaam city centre.
  it has got full title deed and site plan
  price is 700,000 US dollars.
  interested buyers contact me through my email. somigroup@yahoo.com/ or drop me a message at myphone 0754524206
   
 2. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Mkuu kwa faida ya wengine, hebu fafanua huko Mapinga ni wapi, 25km kutoka Dar kuelekea wapi n.k
   
 3. M

  Mfikilwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2009
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 363
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kama sijakosea ni bagamoyo
   
 4. S

  Somi JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Eneo la mapinga lipo baada ya kupita bunju b kama unaelekea bagamoyo
   
 5. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Ni baada ya kuipita Mbweni, tuseme ni mkono wako wa kulia ukiwa unaenda Bagamoyo, maeneo ya shule ya Baobab, unaingia kulia.
  Haya Somi, iko upande gani kutoka kiwanda cha chumvi?
   
 6. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2009
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  we are selling 800 acres of land suitable for hotels and apartments construction.
  situated along the ruvu river at miswe area 15 kms between Bagamoyo and farms
  it has got full title deed and site plan
  price is 700,000 US dollars.
  interested buyers contact me through my email. abatarfy@yahoo.com or drop me a message at my cell 0712000028
   
 7. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nashukuru kwa taarifa nzuri, mimi nilikuwa natafuta maeneo mawili, yawe bagamoyo na pwani ya kibaha au mkuranga. moja ni kama hilo la ekari mia moja hivi, na lingine nataka ekari kama mia tano na zaidi, nataka kujenga shule za seminari kwenye dini yangu, na pia nataka kujenga chuo kikuu kikubwa sana. soon you will hear the news about this.
   
 8. S

  Somi JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mama joe kama upo serious kununua nitumie email ; somigroup@yahoo.com au nipe namba yako ya simu nitakutafuta
   
Loading...