Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,602
- 5,569
Ziton si mdini bali wadini wapo! Zito ni mkweli na siku zote amekuwa akisimamia anachokiamini. Laiti kama Zito angelikuwa ni Mdini iweje amuunge mkono Kafulila? Unajua mtu akitaka kukupakaza kinyesi hukuvizia pasipo na maji. Je hamuwajui marafiki wa damu wa Zito ni kina nani? dini zao ni gani? Je ni kweli walikuwa chanda na pete na Zito pale Daruso ni hao tu? Tatizo la wanajamvi wengi ni kukurupuka mmeletewa jambo lichimbeni sana mwende nalo mbali... ndio maana mtoa mada akawaambia mwende nje ya box! :teeth: