Esma Platnum amefanya exclusive interview na Zamaradi amefunguka mengi kuhusu ndoa yake iliyopita

Kama mimi ningekuwa Esma wala nisingeongea kwani kukaa kimya shingi ngapi eti vitu vinavyouzwa dukani ni vya wizi duh awe na akiba na maneno yule jamaa akiongea na yeye itakuwa balaa.
 
Kama mimi ningekuwa Esma wala nisingeongea kwani kukaa kimya shingi ngapi eti vitu vinavyouzwa dukani ni vya wizi duh awe na akiba na maneno yule jamaa akiongea na yeye itakuwa balaa.
Kimekulia maisha ya uswz na bado ana mentality hiyo hiyo

Ova
 
Yeye kwake ndy starehe maana wakati wake ulipita pasi na kufanya starehe hizo.
Ujanani alikuwa anaifanya kama ajira, hivyo focus ilikuwa kumfurahisha customer.. Wakati huu yeye ndiyo Customer lazima afidie shuruba alopitia zamani
 
Back
Top Bottom