Eskorol(ESCROW) Hakuna kulala

xfactor

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
1,511
1,287
ImageUploadedByJamiiForums1416959343.840853.jpg

Mpaka kieleweke,kama kuzibwa pumzi wawazibe mkiwa mjengoni
 
Waliopo kitanzini ndio kwanza wamelala na si ajabu wengine wamedozi kwa michepuko...
 
Dah nipo call leo nasubiri wagonjwa waje niwatibu...ila silali escrow had kieleweke...one thing am suprised hawa watanzania hawanatime na chochote....busy na umaskini wao
 
Attachments

  • 1416964229431.jpg
    1416964229431.jpg
    10.6 KB · Views: 231
Waliopo kitanzini ndio kwanza wamelala na si ajabu wengine wamedozi kwa michepuko...

Aah wapi majumbani mwao hapakaliki, vitanda havilaliki, simu ndo kabisaaa zikipigwa anauliza nani kapiga kama ni namba ngeni moyo unafanya PAAAAA....!!!!
 
Mbona Yeriko Nyerere kafungua thread akisema wabunge wote wa ccm waliopo PAC wanahojiwa na chama usiku huu so nashangaa kumuona filikunjombe yupo viwanja vya bunge usiku wote.
 
Mbona Yeriko Nyerere kafungua thread akisema wabunge wote wa ccm waliopo PAC wanahojiwa na chama usiku huu so nashangaa kumuona filikunjombe yupo viwanja vya bunge usiku wote.

Filikunjombe sio mzoga,hapelekeshwi kizembezembe,ni jembe.

Kwa style hiihii itatumika kulinda masanduku ya kura 2015. Yatosha sasa
 
Hii ndio siku ya vijana kujenga legacy. Mara nyingi watanzania tumekuwa hatuoni umuhimu WA kuacha dunia na jamii ikukumbuke milele, Zitto na Filikunjombe hii ni once in a lifetime opportunity kujenga legacy. Without fear or favor tutendeeni haki watanzania, tuko nyuma yenu.
 
Back
Top Bottom