Escrow: Wale waliochukulia Stanbic hawafahamiki; watarudisha kweli?

Na kesi ya Sethi & Rugemalira itakapoanza kuunguruma mahakamani wote hao waliogawana pesa toka Stanibic na Mkombozi watafikishwa mahakamani aidha kama mashahidi wa upande wa serikali au kama watuhumiwa wenza.
Kazi ipo

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Tutarudisha tu Mkuu hakuna namna, jamaa kakaba mpaka kivuli
Urudishe bilioni moja na ushee kwa kuwa tu kyna mmoja karudisha milioni 40 kule ambapo hazikutoka? Ninachojua mtu kama Chenge hawezi kurudisha na hawatoweza kumfanya chochote.

Sijui itakuwaje Rugemalira na Singasinga wakishinda kesi yao
 
TQUOTE="Musoma Yetu, post: 22178808, member: 357121"]Watarudisha vipi mkuu wakati hawajulikani[/QUOTE]
Tunajulikana, time will tel
 
hahhahahahahaha kweli hii pahali ni full kiwonder / viwonder mtu anarudisha alaf hashikiliwi ? ayeya.....................
 
Ngeleja kaonyesha mfano! Kwa kuwa yeye ya kwake alichukulia mkombozi bank! Hivi wale wasiofahamika na waliochukulia Stanbic Bank watarudisha kweli?
Muulize bashir awale ambaye Alikuwa mkurugenzi wa hiyo benki wakati zinatoka zikipotoka tu akapewa kazi ya kuzisimamia akiwa kiongozi wa kampeni wakati sio mtanzania. Wanaojua nani walichukua ni lowasa na huyo aliyekuwa meneja mkuu wa stanbic waulizeni maana pesa nyingi za escrow zilitumika kampeni za chadema kumsaidia lowasa
 
Hakuna siri chini ya jua!

Sent from my HUAWEI CUN-U29 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom