Salim Khatri
Member
- Mar 6, 2015
- 69
- 21
ningekuona wa maana kama ungekuja na ripoti ya waliofanya miamala benki ya stanbic.hii ingesaidia kujua huu ukweli.ripoti yako haibadilishi ukweli ya kuwa pesa za umma zimeliwa na wajanja wachache.hii ni ripoti ya ya janja ya nyani tu kuzunguka mbuyu,haina maana yoyote.kujisumbua kusoma ripoti hii ni kujishushia hadhi yako tu.
Hii nayo ni hoja ama kioja?
Salim.