ESCROW inafuatiliwa mpaka vijijini

tuwe wakweli

JF-Expert Member
Feb 15, 2014
224
195
Kwangu mimi naona ni maajabu ila nafurahi kuona kuwa Watanzania wameanza kuelewa kuhusu maslahi yao ukilinganisha hapo awali kwani huku kijijin niliko Dabaga-Kilolo watu wanafuatilia kwelikweli na wameumizwa mno ila wanaichukia CCM
Nyie huko kwenu kupoje?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom