Escrow, EPA na Meremeta na kushikiliwa kwa ndege yetu south

mogulnoise

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
2,350
2,000
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, wale wangunishaji dot tumeshajua ile janja ya nyani
Haswa panapokaribia uchaguzi lazima wanaodai serekali walipwe madeni yao

Uchaguzi ule meremeta wakalipwa uchaguzi ule tena EPA wakalipwa uchaguzi ule IPTL kalipwa sasa uchaguzi huu tumlipe huyu mkulima.

Kidumu chama cha mapinduzi
 
Uwazitu

JF-Expert Member
Aug 19, 2019
1,339
2,000
Alipwe ili tupate pesa kuwezesha kushinda uchaguzi.

Mkulima billion 9 na sisi zinazobaki.

Watendaji wa kata wote lazima wapate posho.
 
wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
2,344
2,000
Umeunganisha dot mkuu,lolote linaweza kuwa hasa pale unapoisikia habari kama ya kusadikika maana hakuna upande unaotoa taarifa rasmi.
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, wale wangunishaji dot tumeshajua ile janja ya nyani
Haswa panapokaribia uchaguzi lazima wanaodai serekali walipwe madeni yao

Uchaguzi ule meremeta wakalipwa uchaguzi ule tena EPA wakalipwa uchaguzi ule IPTL kalipwa sasa uchaguzi huu tumlipe huyu mkulima.

Kidumu chama cha mapinduzi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom