ERP (Enterprise resource planning) Suluhisho na mkombozi wa biashara yako.

mzee_wa_mishemishe

mzee_wa_mishemishe

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2013
Messages
278
Points
225
mzee_wa_mishemishe

mzee_wa_mishemishe

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2013
278 225
Enterprise resource planning (ERP) ni suluhisho kwa wazalishaji na wauzaji wa bidhaa mbalimbali kama kiwanda, kampuni na uendeshaji wa dukani.

ClickTech Company Limited. Tumedhamilia kukusaidia wewe mfanya biashara na sasa tumekuletea ERP mfumo bora na wa kisasa utakaosaidia
kusimamia uzalishaji wa bidhaa zako, kukuza na kuendesha biashara yako. Mfumo huu unapatikana online na offline.

Vipengele vinavyopatikana katika mfumo huu ni:

Production
Add, Edit, Delete, View Product

Account
Add, Edit, Delete, View Account

Issue Material
From Warehouse

Purchases
Add, Edit, Delete, View Purchase

Sales
Add, Edit, Delete, View Sales

Journals
Journal, CRV, CPV Entries

Human resource management (HRM)
Employees
-Add, Edit, Delete
Manage Employees, Salary Increment, Salary Record and etc

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kutumia demo ya mfumo huu.

Mawasiliano yetu:
Call/Text: 0759702766
Email: mathew@clicktech.co.tz

banner-png.1097354

dashboard-jpg.1097360

6-facteezo-product-statement-png.1097361

10-facteezo-bank-statement-png.1097362
 
M

Meres Technologies

Member
Joined
Apr 11, 2019
Messages
5
Points
45
M

Meres Technologies

Member
Joined Apr 11, 2019
5 45
Enterprise resource planning (ERP) ni suluhisho kwa wazalishaji na wauzaji wa bidhaa mbalimbali kama kiwanda, kampuni na uendeshaji wa dukani.

ClickTech Company Limited. Tumedhamilia kukusaidia wewe mfanya biashara na sasa tumekuletea ERP mfumo bora na wa kisasa utakaosaidia
kusimamia uzalishaji wa bidhaa zako, kukuza na kuendesha biashara yako. Mfumo huu unapatikana online na offline.

Vipengele vinavyopatikana katika mfumo huu ni:

Production
Add, Edit, Delete, View Product

Account
Add, Edit, Delete, View Account

Issue Material
From Warehouse

Purchases
Add, Edit, Delete, View Purchase

Sales
Add, Edit, Delete, View Sales

Journals
Journal, CRV, CPV Entries

Human resource management (HRM)
Employees
-Add, Edit, Delete
Manage Employees, Salary Increment, Salary Record and etc

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kutumia demo ya mfumo huu.

Mawasiliano yetu:
Call/Text: 0759702766
Email: mathew@clicktech.co.tz

View attachment 1097354

View attachment 1097360

View attachment 1097361

View attachment 1097362
Kazi nzuri.

Hongereni sana.
 
mzee_wa_mishemishe

mzee_wa_mishemishe

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2013
Messages
278
Points
225
mzee_wa_mishemishe

mzee_wa_mishemishe

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2013
278 225
Huduma zinaendelea
 
mzee_wa_mishemishe

mzee_wa_mishemishe

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2013
Messages
278
Points
225
mzee_wa_mishemishe

mzee_wa_mishemishe

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2013
278 225
Wasiliana nasi kwa huduma zetu 0759702766
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
15,501
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
15,501 2,000
Hujaelezea ERP ni nini haswa. FAIL!!!

Si kila mwana jf ameenda shule mkuu, hii kitu inatumikaje na inamsaidiaje mfanyabiashara ambaye ni layman
 
mzee_wa_mishemishe

mzee_wa_mishemishe

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2013
Messages
278
Points
225
mzee_wa_mishemishe

mzee_wa_mishemishe

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2013
278 225
Hujaelezea ERP ni nini haswa. FAIL!!!

Si kila mwana jf ameenda shule mkuu, hii kitu inatumikaje na inamsaidiaje mfanyabiashara ambaye ni layman
enterprises resource planning is business process management software that allows an organization to use a system of integrated applications to manage the business and automate many back office functions related to technology, services and human resources
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
15,501
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
15,501 2,000
enterprises resource planning is business process management software that allows an organization to use a system of integrated applications to manage the business and automate many back office functions related to technology, services and human resources
Bado unayumba tumia lugha ya kiswahili, how can you make sales kwa kudesa definition za google? Ina maana hujui bidhaa yako unayotaka kuuza?
 
mzee_wa_mishemishe

mzee_wa_mishemishe

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2013
Messages
278
Points
225
mzee_wa_mishemishe

mzee_wa_mishemishe

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2013
278 225
Bado unayumba tumia lugha ya kiswahili, how can you make sales kwa kudesa definition za google? Ina maana hujui bidhaa yako unayotaka kuuza?
Ni software itakayorahisisha shughuli zako za kiutendaji katika biahara yako. mf: una biashara ya kufyatua tofari software hii itakusaidia kupangilia na kujua gharama za raw material utakazotumia paka kukamilisha uzalishaji wa tofali zako.

Vile vile software hii ina sehemu ya POS ambayo itakusaidia katika uuzaji wa bidhaa zako. na kuna sehemu maalumu itakayosaidia kupangilia wafanya kazi wako pamoja na mishahara yao na matumizi mbali mbali yanayotokea katika biashara yako

Na software hii ina sehemu ya accounting na inventory system itakayokusaidia katika kujua na kuendesha warehousing yako
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
15,501
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
15,501 2,000
Ni software itakayorahisisha shughuli zako za kiutendaji katika biahara yako. mf: una biashara ya kufyatua tofari software hii itakusaidia kupangilia na kujua gharama za raw material utakazotumia paka kukamilisha uzalishaji wa tofali zako.

Vile vile software hii ina sehemu ya POS ambayo itakusaidia katika uuzaji wa bidhaa zako. na kuna sehemu maalumu itakayosaidia kupangilia wafanya kazi wako pamoja na mishahara yao na matumizi mbali mbali yanayotokea katika biashara yako

Na software hii ina sehemu ya accounting na inventory system itakayokusaidia katika kujua na kuendesha warehousing yako
Ewaa nimekupata vyema sasa, inauzwa pesa ngapi mkuu?
 
mzee_wa_mishemishe

mzee_wa_mishemishe

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2013
Messages
278
Points
225
mzee_wa_mishemishe

mzee_wa_mishemishe

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2013
278 225
Ewaa nimekupata vyema sasa, inauzwa pesa ngapi mkuu?
Karibu mkuu. Bei ni Tsh 300,000 kwa mtumiaji wa offline ambapo ataweza kutumia hii software katika PC moja tu. na Tsh 500,000 kwa watumiaji online ambapo software tutaiweka online na kila department itakuwa na login credential zake za kuingia katika software Mf: Accountants, Production manager, warehosing manager Nk. na wote wanaweza kuingia katika software wakiwa katika maeneo mbalimbali. Naomba tuwasiliane 0759702766 nikutumie login credentials uingie katika demo account.
 
Forum statistics

Threads 1,296,166
Members 498,559
Posts 31,237,045
Top