Ernest mloha (diwani) unakiua chama cha mapinduzi kata ya iringa-mvumi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ernest mloha (diwani) unakiua chama cha mapinduzi kata ya iringa-mvumi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MKALIMOTTO, Aug 8, 2012.

 1. M

  MKALIMOTTO Senior Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakishauri chama cha mapinduzi wilaya ya chamwino iwe makini na diwani wake ernest mloha kwani amekigawa chama katika makundi. Anatuhumiwa kutengeneza majungu kwa wanachama wenzake na kupendelea kijiji cha ikombolinga ambako ndiko anatokea. Amevuruga uchaguzi ndani ya kata kwa kulazimisha kufanyika uchaguzi ngazi ya kata kabla ya uchaguzi ndani ya matawi haujakamilika. Kitendo hicho kilisababisha baadhi ya viongozi wanaokubalika kutoka iringa mvumi kutogombea uongozi na hivyo viongozi wote wa kata wa chama kuwa wa upande mmoja yaani ikombolinga. Hii imejenga chuki na hasira kwa wanaccm wanaotokea upande wa iringamvumi. Ni vema ccm wilaya ya chamwino mnusuru hali hii. Diwani huyu ni mchafu kimaadili, anafanya mapenzi na wanafunzi kwa jeuri ya fedha na cheo. Chanzo mimi mwenyewe kwani ninamfahamu.
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Mkuu ungemwandikia katibu wa chama chenu cha Mapinduzi moja kwa moja kwa jina halisi, hili lako la bandia inakuwa ni majungu.
   
 3. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  na bora akiuwe vizuri ili m4c ije imalizie tu.....ushauri mpelekee hizi habari nape
   
 4. M

  MKALIMOTTO Senior Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa kaka wewe unajuaje kama hili siyo jina langu? Watu wengine bwana, kama hutaki kuchangia huu uzi si uache. Mi nimeandika nikiamini kuwa huyo katibu pia anaisoma JF, sasa we hutaki niitumie JF? Eboo!
   
 5. MJENGA

  MJENGA JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2015
  Joined: Nov 18, 2012
  Messages: 577
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 80
  Ernest Mloha aoa mwanamke mwingine ambaye alianza nae urafiki akiwa mwanafunzi.Huyu jamaa ni jamaa kwa kupenda watoto Wa while!
   
Loading...