Erling Braut Haaland: Kinda anaekwenda kuiweka Ulaya na dunia kiganjani mwake

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
18,511
68,141
Akiwa ameshaifungia Borussia Dortmund mabao mawili mpaka sasa dhidi ya Bayern Munich kwenye El Klassicker, Haaland anakuwa ndie mchezaji wa kwanza kufikisha magoli 100 mashindano yote katika mechi 145 alizocheza, akiwaacha mbali wakongwe wengine kama ifuatavyo.

Kylian Mbappe 100 goals in 180 matches.

Lionel Messi 100 goals in 210 matches.

Zlatan Ibrahimovic 100 goals in 245 matches.

Cristiano Ronaldo 100 goals in 301 matches.

The future looks so brighter to this kid.
 
Sahihi ila anaOption ya kwenda Bayern ili awike, akienda timu tofauti na Bayern atapotea, believe m
 
Muda utaongea. Dar Young African walienda Kwa Maandamano Airport Kuwapokea Fiston, Sarpong na huyu soft soft 'mboga Saba' Muangola. KIKO WAPI?
Muone mbumbumbu huyu katika ubora wake!! 😇

Mada inaongelea rekodi ya Kijana mdogo wa Kinorway Erling Haaland! Yeye muda wote anaiwazia tu Yanga!!

Jikite kwenye mada mzee baba ili ile laana ya Ismail Aden Rage kuwaita nyinyi mbumbumbu, isiwaandame milele.
 
Back
Top Bottom