Mama Jenista hivi anaelewa Vibali vinavyotoka kwa wageni sasa hivi na kusainiwa na Kamishna wa Kazi(Commissioner for Labour) ni kweli wanahakiki au ni Mradi mpya wa Ulaji.Inashangazwa kuona kuna kibali kimetolewa cha Meneja sehemu fulani Meneja hajui kuandika wala kusoma zaidi ya lugha Mama.Hivi kweli Idara hii wanahakiki au hata kuwauliza maafisa wa kazi sehemu husika ilikoombewa kazi hizo.Je hakuna Mtanzania anyeweza kufanya kazi hiyo.Rejea ziara ya Mkuu wa wilaya ya Temeke kiwanda fulani alipokosowa sifa za Afisa mmoja.Ni bora Waziri Mama anayelinda ajira za Watanzania ni vyema ajiridhishe siyo tu kupata Dola elfu mmoja wanazolipia na sasa hivi ni Mradi kuliko aliyokuwa nao Masamaki Bandarini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.