Erick Shigongo awa Mwanafunzi bora Chuo cha Tumaini

Sawa tu kupata degree kwani huko sekondari kuna jpya lipi la kujifunza.. History miaka 6 unasoma Mali empire Geography unasoma sijui miamba na contour miaka sita.... Anae kumbuka elimu ya sekondari na application zake ambazo zimemsaidi ni nani? Wengi sekondari wameenda kujifunza kiingereza.
 
Back
Top Bottom